welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Na WATOTO Ana wang'ng'ania huwa inaumiza sana, mtu uliacha upweke ukiwa na miaka 28-30 unafikisha 45-50 mke anakurudisha kwenye maisha ya upweke tena inaumiza sana!Mwanaume umekaa kutafuta Mali badae mtu anakuambia tugawane😞😞😞
Sasa:-Sahivi tz watu wanafanyiana umafia tu,sahv mtu akikuambia anakupoteza anakupoteza kweli
Mmedhulumiana,mmechukuliana mke au mme watu wanafanyiana
Yajayo yanafurahisha,muanze kuishi kwa kuzoea mambo haya sasa Tlaatlaah
Ova
Kwani aliachana na mumeweNa WATOTO Ana wang'ng'ania huwa inaumiza sana, mtu uliacha upweke ukiwa na miaka 28-30 unafikisha 45-50 mke anakurudisha kwenye maisha ya upweke tena inaumiza sana!
Yani moto unaanza kuunguza gari nyie mpo tu, unaanza kuwaunguza miguu mpo tu, mwili mzima ndio mtoke mlale pembeni ya gari ? Umewahi kuona mwizi akichomwa huwa anajaribu kukimbiaDUUUh kwamba wakitoka wakitapatapa moto unazimika ushawahi ona moto ukimshka mtu?
Hamchelewi kusema polisi wamehusika.
Sasa kwenye hifadhi walifikaje ?Gari inaweza lipuka mtu stranded akawa wa siti ya nyuma, vile vile hakuna maelezo ya kina hawa watu wapo mazingira ya barabara au porini ndani.