Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni

Tanga: Watu watatu wafariki dunia kwa kuchomwa moto ndani ya gari Handeni

Mwanaume umekaa kutafuta Mali badae mtu anakuambia tugawane😞😞😞
Na WATOTO Ana wang'ng'ania huwa inaumiza sana, mtu uliacha upweke ukiwa na miaka 28-30 unafikisha 45-50 mke anakurudisha kwenye maisha ya upweke tena inaumiza sana!
 
Sahivi tz watu wanafanyiana umafia tu,sahv mtu akikuambia anakupoteza anakupoteza kweli
Mmedhulumiana,mmechukuliana mke au mme watu wanafanyiana
Yajayo yanafurahisha,muanze kuishi kwa kuzoea mambo haya sasa Tlaatlaah

Ova
Sasa:-
  • Epuka dhuruma,
  • Epuka mke wa mwenzako
  • Epuka siasa chafu.
Ukijiingiza huko yatakayokupata ni halali yako
 
DUUUh kwamba wakitoka wakitapatapa moto unazimika ushawahi ona moto ukimshka mtu?
Hamchelewi kusema polisi wamehusika.
Yani moto unaanza kuunguza gari nyie mpo tu, unaanza kuwaunguza miguu mpo tu, mwili mzima ndio mtoke mlale pembeni ya gari ? Umewahi kuona mwizi akichomwa huwa anajaribu kukimbia

Mkuu hii observation yako ni sawa na story ya (utanisamehe sana kwa hili" jamaa mmoja alisimuliwq alivyobakwa

"Kanivua suruali mi namwangalia tu, akaja akanivua boxer mi namcheki tu nione lengo lake..."
 
Back
Top Bottom