DOKEZO Tanga: Wazee wanufaika wa TASAF wanafanyishwa kazi ndio wanapewa hela. Hivi ndivyo Serikali ilivyoelekeza?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni kuwatesa Wazee yaani watu wana roho mbaya ipo kwenye damu...
 
Mbona ndio sera ya TASAF tangu kuanzishwa kwake,yaani Kuna percent mwananchi atachangia Katika kuleta maendeleo kwenye eneo husika,na m hango wa mwananchi sio wa pesa Ila ni wa nguvukazi.....
 
Watanzania hatuna jema kwakweli na mabingwa sana wa kupepeta midomo na kutia chumvi maneno. Kama members wa JF tuwekeze kwenye kuzijua sera mbalimbali za Taifa na jinsi zinavyotekelezwa. Siyo kila neno pyeeeeepyeeeeeeee. Kweli sie ni MAKASUKU ndugu zetu hawakukosea.
 
Wasiishie kwa hao wazee hadi wadangaji kina cute wife wafanyishwe kazi ngumu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unakoelekea utatembea unaongea peke yako ukiwa unanitaja, wahi haraka nikupe dawa mgonjwa wangu
 
Ndio hakuna Cha Bure,ila sio sawa maana wanawalimisha Barabara
 
Mnapoambiwa wenye akili mnapojiweka pembeni kugombea na kuwaachia mburura haya ndiyo matokeo yake.
 
Wabongo tunapepeta sana midomo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…