Tanga Wilaya nyingi na Wabunge wengi lakini Watu wake Maskini tofauti na kwetu Iringa

Sehemu yoyote ambapo wanaikumbatia sana CCM kuna umasikini wq kutisha. Kuna uhusiano mkubwa kati ya CCM na umasikini na ujinga.
 
Jo ina maaana zile nyumba za tembe kule Dodoma hujawahi kuziona?
 
Uswahili mwingi huko, kwanza wanaume walio oa wanawake wa Tanga tabu na shida wanazo tena zakutosha, mwanamke hamalizi wiki yupo kwao, kuna shughuli! Sasa huyo mke chinga!
Mmeamua kuwananga watani zangu ha ha ha

Na wakizaramo je ?!!
 
75 % ya mabekitatu ni kutoka Iringa hiki ni kiashiria kuwa huko kuna umasikini wa kutisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…