Tanga Wilaya nyingi na Wabunge wengi lakini Watu wake Maskini tofauti na kwetu Iringa

1. Hio cement tu kuna Viwanda vitatu ama zaidi
2. Ukiskia Chokaa na Vitu vinavyotokana na Chokaa kama grout zinatoka Tanga
3. Pengine toka uzaliwe hujawahi tumia mafuta yasiyotoka Tanga, mi viwanda mikubwa ya mafuta kina TPPL na Mamujee yote yanatoka Tanga, kuanzia Vasteline, Baby care, Cocoa Butter na mafuta karibia yote maarufu ya Tanzania.
4. Kuna Tanga Fresh, Viwanda Vya Cheese na bakery industries kibao za Tambi, Halua, na zinginezo.

Inshort Tanzania nzima ni Dar na Mwanza ndio Zimepita Tanga Kiviwanda, pengine na Pwani kwa sasa sababu ya Kutanuka kwa Dar.
 
Wacha mzaha yaani Vijiji vya Korongwe na Handeni ndio ulinganishe na Mafinga?

Iringa MC Haina tofauti na Hako kamji mnaita Jiji πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanga ipo hoi kabisa, alafu unakutana na mbunge na Mkuu wa mkoa anamwambia Rais kuwa hadaiwi chochote wakati bado matundu tu ya Vyoo ni shida.. Viongozi wapo bize kusifia Sifia tu ili kupata teuzi.
 
Ndio mkoa una mawaziri wengi kwenye serikali ya Samia Tanganyika.
 
Mwanza hakuna viwanda vingi wewe mpaka wanja wa Tanga.

Mikoa ya viwanda Tanzania
1.Pwani
2.Dar
3.Tanga
4.Arusha
5.Shy
6.Morogoro
7.Mwanza
8.Mbeya
9.Iringa
10.Moshi
 
Mwanza hakuna viwanda vingi wewe mpaka wanja wa Tanga.

Mikoa ya viwanda Tanzania
1.Pwani
2.Dar
3.Tanga
4.Arusha
5.Shy
6.Morogoro
7.Mbeya
8.Mbeya
9.Iringa
10.Moshi
Tanga niko huku miaka mingi ,viwanda vipo ila haviko active zimebaki Godowns nyingi sana ....Pwani kwa sasa kuna viwanda vingi mno hata Arusha maana nimeenda juzi hapa.
 
Uko sahihi,hata maghorofa hujengwa kwa mchanga(udongo) na cement(udongo ulaya).Kwa hiyo nyumba hata iwe vipi,ni udongo,iwe ghorofa,iwe tofali,ni udongo tu.
 
Takwimu zote zinawakataa kianpa mapato Hadi idadi ya watu.

Korongwe na Handeni ni Vijiji vya manamba πŸ˜‚πŸ˜‚
Najua wewe mshamba wa Mbeya ila tambua sisi sio race yenu ,watu wenye utapiamlo hamna akili hata mmoja 🀣🀣.

Usifananisha Tanga na magonjwa ya zinaa huko Mafinga sijui mafiga endelee kuchambua takwimu ila kipindupindu kitawamaliza washamba nyie.
 
Nakubaliana na wewe kweli masikini kama mikoa mingine ila pia kule kupuliza kunachangia , ukisikia Mbodei anakwambia ( kaita mgima ) jua hakuna shughuli ndogo , ila wasambaa nimewamis sana , vijana ambao bado hamjaoa ebu sogeeni kule kabila la wasambaa mtanishukuru badae, ni wazuri na wachapa kazi , heshima yao ipo juu sana.

Wabondei ni wazuri sana ila eshima yao ipo chini, wazigua sikuwatafiti sana ila kwa mambo ya kienyeji na kuvunja nazi wapo vizuri
 
Hizi za Tanga zimezidi Bwashee πŸ˜„
Sio kweli,wewe itakuwa umefika vijijini,hakuna kijiji,cha mkoa wowote kisichokuwa na nyumba za udongo.Tanga,ipo wilaya inaitwa,hivyo,na mkoa mzima,pia unaitwa,Tanga.Tembelea wilaya ya Tanga,uone manispaa ya kwanza,Tanganyika.Mji wenye bandari ya bahari,usifananishe na Iringa kusiko na bahari.Bandari ya bahari,ni mlango wa dunia nzima.
 
Wachaga wanawatoa wahindi, WAKINGA wa IR/NjMb wanawatoa wahindi, wachaga, na Wapemba. Wakinga ni Omnipresent & Omnipotent πŸ˜‚
 
Takwimu zinawakataa,Vijiji vya manamba kina Korongwe na Handeni wanaoishi kwenye vijumba vya mabanda usilinganishe na Mafinga.

Achilia mbali Mbeya namba 3 Kwa GDP Tanzania,namba 3 Kwa watu wenye Mapato per Capita kubwa ikiyanguliwa na Dar na Iringa.

Mtoa mada Yako sahihi.
 
Huo ni uongo ,endeleeni kupambana na magonjwa yenu πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…