Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
Pia soma: Kuna kero za Muungano au Muungano ni kero?