Transman
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 839
- 616
WamekaririshwaNdio mlivyodanganywa, kwani sasa hivi akiamua huyo adui hawezi pita
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WamekaririshwaNdio mlivyodanganywa, kwani sasa hivi akiamua huyo adui hawezi pita
Hivi kuna chuki zaidi ya hii hapa? Mkiambiwa ukweli mnalia lia chuki
View: https://www.youtube.com/watch?v=pcwvILodCKM
Muungano halikuwa wazo la Nyerere wala si Nyerere aliyeutaka. Nyerere alitumiwa tu kama kibaraka.Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
Mkuu huo mstari wa pili umeuliza au umesema?Hizi hadithi za kuokoteza huwa mnazitoa wapi!?
Karume angeachwa peke yake angeshapinduliwa kitambo sana!?
Wapo sahihi kwan s wapo kwao wanalinda mila zao
HIYO NI DHANANyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
Hizi hadithi za kuokoteza huwa mnazitoa wapi!?
Karume angeachwa peke yake angeshapinduliwa kitambo sana!?
Huo muungano unasaidia dhidi ya ugaidi, bila hivyo hicho kisiwa kingekua kama Somalia.
Jamaa hulazimisha kila mtu awaige kwenye ule mfungo wao wa kubadilisha masaa ya kula cc brazaj
..Kenya ndio ilipaswa kuungana na Zanzibar kwasababu Mombasa ilikuwa eneo la Zanzibar.
..masuala ya ulinzi na usalama sio hoja. Tanganyika imesaidia ulinzi wa Seychelles na Comoro bila kulazimika kuungana nao.
Siyo kwamba hatutaki muungano lakini hebu kwanza jiulize yafuatayo:Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
Inawezekana ni sawa, ila hii iwe kwa pande zote mbili. Hata Watanganyika wasipewe uDC huku Zanzibar. Hivi sasa huenda kuna DC mmoja kutoka Zanzibar. Kule Zanzibar kuna maDC wawili Watanganyika. Zanzibar yenye idadi ya milioni 1.8 inaongozwa na maDC wawili Watanganyika. Kimahesabu, ili kuwe na usawa, ilitakiwa Tanganyika kuwe na maDC 67 kutoka Zanzibar. Hili unalionaje? Kuna haki hapa?Mi ni kijani og ila nafikiri Lissu yuko sahihi na hoja zake na haiko sawa wazanzibari kupewa vyeo huku bara mf DC na pia kuhudhuria bunge letu,
Unazungumzia bunge lenu? Lenu akina nani? Hivi unajua unachoongea? Hapa kuna bunge la JMT, na nadhani unajua ni nini JMT.na pia kuhudhuria bunge letu, au inabidi kuwe na mabunge mawili moja la Tanganyika na jingine la muungano maana wao wana bunge lao
Haya ni maoni yako. Una haki ya maoni.Kwasasa Lissu ni mshindi kwa maoni yangu ya kibara!! Hoja zake ni moto na hazijibiki kwa mifumo ya siasa iliyoko hivi sasa.
Kwamba Tanganyika iliopigana na Uganda ishindwe kupambana na kisiwa ambacho hakifiki ukubwa hata wa mkoa? Huu upumbavu wa kiwango cha medani kabisa.Huo muungano unasaidia dhidi ya ugaidi, bila hivyo hicho kisiwa kingekua kama Somalia.
Jamaa hulazimisha kila mtu awaige kwenye ule mfungo wao wa kubadilisha masaa ya kula cc brazaj
Nyerere sasa hivi ni mtakatifu. Shauri yakoHIYO NI DHANA
It's a freaking theory!
Nyerere sio mjinga kwa nini, Nyarere hakosei ? Nyerere Mungu ???????????? Mbona vijiji vya ujamaa mmevifuta kama Nyerere hakosei ?????????
Uvamizi kupitia Zanzibar. Idd Amin alihitaji bahari kuvamia Tanzania ? Kagame anahitaji bahari kuvamia Congo DR, Nchi zote zilizo pembeni ya visiwa zimevamiwa ?? Tuvamiwe kwa nini, tuvamiwe na nani, Sultani?
Mbona ma sultani wa Emirati wamevamia na kuchukua bandari na ardhi na hifadhi kwa kupitia upenyo wa Mzanzibari ??????
Tethering our country Tanganyika in a super costly union to a miniscule Island of Zanzibar was the most ignoramus decision in the annals of African nation formation history
Muungano ni jambo jema,umoja ni nguvu utengano ni udhaifu.Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
Kwamba Tanganyika iliopigana na Uganda ishindwe kupambana na kisiwa ambacho hakifiki ukubwa hata wa mkoa? Huu upumbavu wa kiwango cha medani kabisa.
Askari wa islael wanauaw kinyama ila vyimbo vya magharibi havitangaziMagaidi ya kidini sio taifa, jifunze na kinachotendeka pale Gaza, kaeneo kadogo lakini inabidi aidha uchague kuua watu milioni ndio ufaulu kuua magaidi 30,000 waliojificha ndani ya hao watu.
PumbaAkuna anaekata muungano,tunataka Muungano wa haki, tumepakana na nchi ngapi mpaka useme bila muungano basi wenda nchi ingeisha pinduliwa?
Ieleweke Mwalim kama aliekua kiongonzi alikua na fikra zake juu ya Muungano huu lakini je kwa muundo wa Muungano ulivyo unawezaje kujua kwamba kwa wakati huu kama angekuepo basi angeshauri usukwe tena?
Watu wenye akili zao wameuzungumzia Muungano huu na kwa mapana
Wakiemo wakina Mchungaji Mtikila, Mzee wetu Warioba wewe ni nani upinge?
Hivi mfano wa mzee WARIOBA na utumishi wake katika Taifa hili unaweza ukawa unayajua Mengi kushinda yeye hasa linapokuja swala la Muungano,
Haya mambo tuwachie watahalam sio kila mtu anaweza yazungumzia Mambo aya ,tofauti nakuja na mihemuko isio na tija