Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 4,740
- 7,179
Toa hojaFikiria china kutaka kuinyakua taiwan ndo utajua mana ya kisiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toa hojaFikiria china kutaka kuinyakua taiwan ndo utajua mana ya kisiwa
Same applies zanzibar iko tanzaniaHatari yake nini!?.. Taiwan Kama hong Kong ni china
Tanzania au Tanganyika!?.. Zanzibar ni Zanzibar,haiko Tanganyika Wala haikua hivyo,ilikua na mambo yake,Kama kiswahili basi kinazungumzwa Hadi lamuSame applies zanzibar iko tanzania
Wewe ndiye mwenye fikra finyu. Akili yako imeshikiliwa sehemu fulani, unaendekeza njaa kwa kulipima vivoucher ili uandike upuuzi.Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
Kumaaanisha zanzibar ingeweza ku acomodate troops wa kutosha kuvamia Tanganyika. Wangevamia kwa usafiri gan. Meli???. Ingeshindikana adui kutokea Kenya au Uganda??.Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
We unachukulia poa kupindua inchi eti baba? [emoji848]Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
Unaendelea kuishi enzi za ujima? Mapinduzi au hayo unayowaza wewe hayahusiani kivyovyote na uwepo wa Zanzibar hapo ilipo.Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Unamaanisha hatuna Navy force?Adui anaweza pita ndani ya maji au mizinga ikatoke ndani ya maji na kupiga nchi nzima
Unatukosea sn watanganyika,kichwa cha habar kilipaswa kuandikwa'Nyerere aliitaka sana Zanzibar kuliko Karume alivyoitaka,sisi wananchi wa hiz nchi 2 hatujawahi kushiriki ujinga huo kwa namna yoyote iwe kufanya maamuz iwapo tunataka muungano au laNyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
Haya ni mawazo duni kabisa. Au hata kama miaka ya sitini yalikuwa na mashiko, lakini hayawezi kutufanya tuendelee kuwa na huu muungano wa 'ovyo' tulip nao leo. Nyerere alifanya makosa mengi hata mwenyewe alikiri. Miongoni mwa makosa yake ni ni kutuachia aina hii ya muungano na katiba hii ya ovyo. Hakuna asiyetaka muungano, bali wenye akili wanalalamikia muundo wa muungano tulionao.Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
We unataka muungano ganiHaya ni mawazo duni kabisa. Au hata kama miaka ya sitini yalikuwa na mashiko, lakini hayawezi kutufanya tuendelee kuwa na huu muungano wa 'ovyo' tulip nao leo. Nyerere alifanya makosa mengi hata mwenyewe alikiri. Miongoni mwa makosa yake ni ni kutuachia aina hii ya muungano na katiba hii ya ovyo. Hakuna asiyetaka muungano, bali wenye akili wanalalamikia muundo wa muungano tulionao.
Pole sanaHuo muungano unasaidia dhidi ya ugaidi, bila hivyo hicho kisiwa kingekua kama Somalia.
Jamaa hulazimisha kila mtu awaige kwenye ule mfungo wao wa kubadilisha masaa ya kula cc brazaj
Huo muungano unasaidia dhidi ya ugaidi, bila hivyo hicho kisiwa kingekua kama Somalia.
Jamaa hulazimisha kila mtu awaige kwenye ule mfungo wao wa kubadilisha masaa ya kula cc brazaj
maisha yako ni magumu sana, wewe ni chuki za kidini tu kwenda mbele