Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
ZanzibarMagaidi ya kidini sio taifa, jifunze na kinachotendeka pale Gaza, kaeneo kadogo lakini inabidi aidha uchague kuua watu milioni ndio ufaulu kuua magaidi 30,000 waliojificha ndani ya hao watu.