Akuna anaekata muungano,tunataka Muungano wa haki, tumepakana na nchi ngapi mpaka useme bila muungano basi wenda nchi ingeisha pinduliwa?Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
Toa porojo. Muungano gani wa aina hii ulishawahi kuuona?. Wakati unasifia angalia na unaposifia sio kusifu upuuzi. Muungano gani taifa moja linapoteza kabisa identity na bado wachumia matumbo mnacheka tu. Lissu yupo sahihi, jibuni hoja zake.Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
tungepinduliwa na nani? mbona unaota ndogi.Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
Mpende msipende mtaongozw hat kwa mijerediTulijua litakuwa koloni letu, sasa limegeuka zimwi.
Adui anaweza pita ndani ya maji au mizinga ikatoke ndani ya maji na kupiga nchi nzimaMbona tupo karibu sana na Congo, Malawi kwa mfano na tupo salama, sembuse hapo Zanziba tulipotengwa na maji. Hii ni hoja mfu
Ndio mlivyodanganywa, kwani sasa hivi akiamua huyo adui hawezi pitaAdui anaweza pita ndani ya maji au mizinga ikatoke ndani ya maji na kupiga nchi nzima
Siyo kwamba ndivyo tulivyodanganywa ndo ukweli huo. We huoni china ina strugle kuichukua kisiwa cha taiwan mana ni hatari kupakana na kisiwaNdio mlivyodanganywa, kwani sasa hivi akiamua huyo adui hawezi pita
UNamaanisha tunashindwa kuvamiwa kisa tumeungana na zanzibar?Nyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
UNamaanisha tunashindwa kuvamiwa kisa tumeungana na zanzibar?
Au kuna reasoning inatupita? Emu fafanua tupate ufahamu
Fikiria china kutaka kuinyakua taiwan ndo utajua mana ya kisiwaUNamaanisha tunashindwa kuvamiwa kisa tumeungana na zanzibar?
Au kuna reasoning inatupita? Emu fafanua tupate ufahamu
labda useme sababu za kiuchumi, china wanataka kila pahala ndio mana unawaona wakijenga viwanda vyao hapa, sasa sisi Zanzibar ni liability [mzigo]Siyo kwamba ndivyo tulivyodanganywa ndo ukweli huo. We huoni china ina strugle kuichukua kisiwa cha taiwan mana ni hatari kupakana na kisiwa
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni muungano wa uingereza na marekani,wakihofia wajamaa wenye nguvu Zanzibar haswa Abdul Rahman babu,waliona zenji itakua Cuba ya Africa,ripoti hizi walizitoa siku nyingi Kama adda yao ya kutia ripoti za kijasusi baada ya muda Fulani,hata mwandishi mihangwa mwenye harufu ya u-afisa kipenyo aliliandika Sana hili ukiachilia mbali wazanzibar Kama Ali nabwa, muungano ulitiwa Saini jumapili siku isiyo ya kazi,tia akilini,hapo ni miezi mitatu tu tangu Nyerere anusurike kupinduliwa na kuokolewa na jeshi la uingereza,humohumo ndani hofu ya dini ikaingiaNyerere aliona mbali sana si ajabu kusingekuwa na muungano tungalikwisha pinduliwa zamani au kuvamiwa na maadui kupitia kisiwa cha Zanzibar.
Kumbukeni Nyerere hakuwa mjinga kama mnavyofikri hasa akina Lissu wenye fikra finyu sana.
Kumbuka security ni muhimu sana kuliko interest zenu na mihemko yenu.
John okello aliingia Zanzibar siku nyingi,akijifanya mfyatua tofaliMkuu acha utoto soma vitabu ujue ukweli, aliyeenda kwa nyerere akiomba amwondolee john okello ni nani?
Hatari yake nini!?.. Taiwan Kama hong Kong ni chinaSiyo kwamba ndivyo tulivyodanganywa ndo ukweli huo. We huoni china ina strugle kuichukua kisiwa cha taiwan mana ni hatari kupakana na kisiwa