Tanganyika na Tanzania ya ovyo ni zao la Hayati Mwalimu Nyerere

Kila mmoja anajua kuwa wewe ni zezeta
Yaan mkuu umasikin wako ameuleta nyerere?bandari nyerere ndio anaiuza?aisee...shida ya maji hapo kijijin kwako kaileta Nyerere...?shule imekaa miaka 10 Haina mwalimu,ni NYERERE KASABABISHA?
MIAKA 25 IMEPITA MWACHEN MZEE WA WATU APUMZIKE...
HAJAKUSHIKIA AKILI,BADILISHA KILE UNACHOKIONA HAKIFAI...MUDA UNAO..ACHA KULALAMA KIBOYA

Cheza nafasi Yako,usijifanye hukioni kirusi kibaya Cha nchi HII
 
Asante kwa ilm hii kubwa, mimi ni mtanganyika na sikuwahi kuona faida ya muungano huu hadi kulazimika kuizika Tanganyika.
 
Unauliza maji kijijini ikiwa ni kosa la Nyerere!?..unavijua vijiji vya ujamaa!?..Leo mkoa wa tabora na shinyanga wanatumia maji ziwa Viktoria,shinyanga walianza kipindi Cha mkapa,tabora Cha magu!?..tabora mradi wa maji Viktoria umegharimu zaidi ya TSH 500b,unadhani mwinyi angekuta Nyerere kaacha nchi vizuri tabora wangesubiri maji ya uhakika kwa miaka zaidi ya 50 tangu uhuru!?..umasikini wa watz unatokana na kuuzwa bandari (ikiwa kweli imeuzwa)?..uwe unafikiri, viongozi wanaitwa hayati(kiarabu i.e aliye hai) kwa kuwa matendo yao milele yatagusa/athiri jamii
 
Namkumbuka hayati Oscar Kambona...
 
Kwani Lissu ni malaika?

Miaka yote ukiona jina la Nyerere miaka yote unahemkwa sana bibi.
 
Waache hao, ni wajinga wapumbavu maana hata nikiwaita wajinga nitakuwa nawahurumia, wana chuki binafsi na Nyerere wasikusumbue.
 
Karume aliuawa mwaka 1972, aliacha chama cha ASP kikiwa madarakani. Miaka mitano baadaye ASP ikauunganishwa na TANU kuunda CCM.
Natafakari tu kama Karume alitaka vyama navyo viunganishwe, ikawa sababu ya kuuawa. 💬 🤔
Nyerere huyo,ili awatawale vizuri.Mwenyekiti wa CCM. Mzee huyu alipenda madaraka kweli kweli.
 
Nchi ngapi ambazo uchumi wao ulikuwa sawa wakati Nyerere anatoka madarakani na Leo imetuacha mbali sana ?
 
Wapo watu ambao walizaliwa wakati Nyerere siyo Rais na sasa ni millionaires.
 
Aliacha msingi mbovu
Zaidi ya asilimia 80 ya watanzania walizaliwa baada ya Nyerere kutoka madarakani. Ni mamilionea wanagapi saivi Tanzania walizaliwa baada ya Nyerere kutoka madarakani? Nyerere alimkataza Mwinyi kufanya mabadiliko, je alimkataza Mkapa,Kikwete na Magufuli kufanya mabadiliko? Je Nyerere anahusikaje kumzuia Samia asifanye mabadiliko ambayo anaona yanaweza kujenga nchi?
 
Mtu mzima kupambana na Marehemu ni upungufu wa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…