Tangawizi, limao, apple vinegar na vitunguu swaum vimeniletea shida

vitu vyote hivyo?!! mchanganyo ukiwa mwingi sana ni sumu
 
Nguvu za kiume hazijawahi kumuacha mtu salama[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Hii maana yake ulikuwa unaanza kunukia pilau mzee baba
 
Kwa kawaida hii tunasema ni overdose inawezekana huo mchanganyiko A.K.A Mchanyato ulikuwa ni sahihi kabisa kwa tiba fulani lakini tatizo lilikuja baada ya kutupia bila kipimo maalum ndyo maana serikali inakataza baadhi ya dawa za miti shamba kwa sababu hazijapimwa kama dosage yake ni suitable kwa matumizi ya binadamu... Mara nyingi dawa kama hizo zinatumika katika kiwango kidogo kidogo sasa wewe ndugu yetu ukatupia mzigo wote...

Usirudie tena hilo kosa utakufwa
 
Sasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]waaa
 
Usirudie tena [emoji4] [emoji4]
 
Kuweni makini mtakuja mjiue kwa mambo ya kijinga
 
Wewe ni nani aliye kufundisha hiyo dawa? Wewe umeona wapi kuchanganya Limao pamoja na Siki ya Apple Cider Vinegar? Limao ni Asidi na Apple Cider Vinegar ni asidi inakuwaje unavichanganya pamoja?unajitafutia upatwe na maradhi? Kitu haujuwi bora

uulize sio kuparamia vitu na kujifanyiwe wenyewe utakuja kujidhuru shauri yako. Vitunguu saumu ,Tangawizi limao na Apple Cider Vinegar kazi yake ni kushusha Presha ya moyo sasa wewe umevichanganya vyote pamoja ndio

maana ukaona mabadiliko ya mapigo yako ya moyo yalikuwa yanashuka kwa haraka sana usije kutumia siku nyingine vitu hivyo kwa pamoja tutakuja kukusahau hapa jukwaani.Tumia hivi Chukuwa Vitunguu saumu punje 2 kijiko 1

kidogo cha unga wa tangawizi kijiko 1 cha limao kamuwa upate maji yake changanya kwenye glasi au kikombe 1 cha maji ya moto utie na asali safi ya nyuki kijiko 1 ni dawa nzuri kwa maradhi mengi tu. Au toa Limao weka Kijiko 1 cha Apple cider vinegar.Koroga vizuri upate kunywa asubuhi kabla ya kula kitu.
 
Ulikuwa unatumia hivyo vitu vyote unatafuta nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…