Edward A Chapa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 961
- 1,380
Id yake ni Mbunifu 11 so labda ulikuwa unafanya ubunifu wako,tuambie umebuni nini baada ya vyote hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hbr zenu wakuu,nisaidieni kuelewa haya yaliyonikuta Leo,nimeamka asbh nikachemsha tangawizi kali,,kiasi cha kikombe kile kikubwa then nikachanganya na vitu vifuatavyo nusu limao na Apple vinegar kiasi cha kijiko kimoja cha chakula nikanywaaa halafu nikachukua punhe 8 zile Nene za vitunguu swaumu nikavikatakata nikanywa kwa kusukumizia maji kidogo,jamani jamani baada kama ya dk 40 nimejisikia vby Sn yaani kama vile nikawa nawasiwasi iliyopitiliza halafu siwezi kutulia,pia nikawa mdhaifu ghafra na kakizunguzungu kwa mbaliii,yaani kama nimelewa hivi halafu pumzi nikawa nahisi kama inabana kwa mbaliii...haraka nikanywa maji mengi kidogo nikajisikia afadhali ingawa ingawa ka udhaifu ka Mwili nakahisi kwa mbalii bado kapo,hii ni mini jamani? Au huo mchanganyiko haufai kiafya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]waaaSasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!
[emoji1] [emoji1]Sasa huo mchanganyiko wa viungo ulifakamia wa nini boss au ndio mambo ya nguvu za kiume? Ungemalizia na kikombe cha mchele ukamilishe pilau kabisa!
Usirudie tena [emoji4] [emoji4]Hbr zenu wakuu,nisaidieni kuelewa haya yaliyonikuta Leo,nimeamka asbh nikachemsha tangawizi kali,,kiasi cha kikombe kile kikubwa then nikachanganya na vitu vifuatavyo nusu limao na Apple vinegar kiasi cha kijiko kimoja cha chakula nikanywaaa halafu nikachukua punhe 8 zile Nene za vitunguu swaumu nikavikatakata nikanywa kwa kusukumizia maji kidogo,jamani jamani baada kama ya dk 40 nimejisikia vby Sn yaani kama vile nikawa nawasiwasi iliyopitiliza halafu siwezi kutulia,pia nikawa mdhaifu ghafra na kakizunguzungu kwa mbaliii,yaani kama nimelewa hivi halafu pumzi nikawa nahisi kama inabana kwa mbaliii...haraka nikanywa maji mengi kidogo nikajisikia afadhali ingawa ingawa ka udhaifu ka Mwili nakahisi kwa mbalii bado kapo,hii ni mini jamani? Au huo mchanganyiko haufai kiafya?
Wewe ni nani aliye kufundisha hiyo dawa? Wewe umeona wapi kuchanganya Limao pamoja na Siki ya Apple Cider Vinegar? Limao ni Asidi na Apple Cider Vinegar ni asidi inakuwaje unavichanganya pamoja?unajitafutia upatwe na maradhi? Kitu haujuwi boraHbr zenu wakuu,nisaidieni kuelewa haya yaliyonikuta Leo,nimeamka asbh nikachemsha tangawizi kali,,kiasi cha kikombe kile kikubwa then nikachanganya na vitu vifuatavyo nusu limao na Apple vinegar kiasi cha kijiko kimoja cha chakula nikanywaaa halafu nikachukua punhe 8 zile Nene za vitunguu swaumu nikavikatakata nikanywa kwa kusukumizia maji kidogo,jamani jamani baada kama ya dk 40 nimejisikia vby Sn yaani kama vile nikawa nawasiwasi iliyopitiliza halafu siwezi kutulia,pia nikawa mdhaifu ghafra na kakizunguzungu kwa mbaliii,yaani kama nimelewa hivi halafu pumzi nikawa nahisi kama inabana kwa mbaliii...haraka nikanywa maji mengi kidogo nikajisikia afadhali ingawa ingawa ka udhaifu ka Mwili nakahisi kwa mbalii bado kapo,hii ni mini jamani? Au huo mchanganyiko haufai kiafya?
Nani aliyekudanganya hivyo? Unaijuwa Tangawizi kazi yake?Nilisikia ukiwa na presha ya kupanda wachana na tangawizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama nia yako ilikuwa kulewa ungeiweka ichachuke kwanza maana umeiwahisha sana
Kwani huo ni ulevi?Kama nia yako ilikuwa kulewa ungeiweka ichachuke kwanza maana umeiwahisha sana
Sasa ndiyo akapoteza nguvu zote hadi za kupiga tu mluziBila shaka ulikuwa unatengeza dawa ya kuongeza nguvu za kula papuchiii
Ntajuaje mimiKwani huo ni ulevi?
Hbr zenu wakuu,nisaidieni kuelewa haya yaliyonikuta Leo,nimeamka asbh nikachemsha tangawizi kali,,kiasi cha kikombe kile kikubwa then nikachanganya na vitu vifuatavyo nusu limao na Apple vinegar kiasi cha kijiko kimoja cha chakula nikanywaaa halafu nikachukua punhe 8 zile Nene za vitunguu swaumu nikavikatakata nikanywa kwa kusukumizia maji kidogo,jamani jamani baada kama ya dk 40 nimejisikia vby Sn yaani kama vile nikawa nawasiwasi iliyopitiliza halafu siwezi kutulia,pia nikawa mdhaifu ghafra na kakizunguzungu kwa mbaliii,yaani kama nimelewa hivi halafu pumzi nikawa nahisi kama inabana kwa mbaliii...haraka nikanywa maji mengi kidogo nikajisikia afadhali ingawa ingawa ka udhaifu ka Mwili nakahisi kwa mbalii bado kapo,hii ni mini jamani? Au huo mchanganyiko haufai kiafya?
Nani aliyekudanganya hivyo? Unaijuwa Tangawizi kazi yake?