TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

Status
Not open for further replies.

aiseeeee!!kumbe mambo yenyewe
yamefikia huku,hongera mwentekiti mpyaaaaa!!
 
yaani bora kaka umefanya jambo la maana kushika cheo hicho kwani huyu amefanya watu tukorofishane hovyo na kuhaaribu hali ya hewa humu mjengoni nakupa bigup bro kaza buti tuko pamoja
Husika na kichwa cha habari..!
Kuanzia leo Erickb52 nitakuwa mwenyekiti wa mahusiano cheo ambacho nimekichukua kutoka kwa Mwenyekiti wa awali Baba V .Nimeamua kukichukua kwa kuwa mimi ndiye nilimpa dhamana.
Sababu za kumvua uongozi ni hizi:
1. Hana mke hivyo hana uzoefu na mambo ya ndoa
2. Amehusika na uvunjifu wa ndoa nyingi
3. Amekuwa akitongoza wake za watu akiwemo mke wangu Chocs na kipipi
4. Anatumia ubabe kutoa maamuzi na majibu mabaya
5. Anafungisha ndoa kwa kuhongwa (Kama ya Arabela na nitonye )
6. Amekuwa akieneza fitina na kukuza ugomvi kwa wanandoa
7. Hasikilizi mapingamizi ya ndoa toka kwa watu

Hivyo kutokana na sababu hizo....NATANGAZA RASMI kuwa Baba V sio Mwenyekiti tena, na kuanzia sasa mimi Erickb52 ndiye MWENYEKITI na nitasaidiwa na Chocs (Mke wangu kipenzi) Atakaye hakikisha usalama wangu ni zubedayo_mchuzi

Wanakamati watakuwa wafuatao: watu8 na mkewe measkron , Filipo na marejesho , Kaizer na DEMBA Arushaone na Lady doctor na Bishanga na The secretary
Mwisho natoa tamko kuivunja Ndoa ya Arabela na nitonye na ndoa zote zenye mashaka ziwasilishwe kwa ajili ya kuzipitia upya na kamati nzima.

Copy kwa: Mr Rocky Asprin mwaJ AshaDii gfsonwin snowhite SnowBall sakapal Dena Amsi Remmy BADILI TABIA Nicas Mtei BAGAH Lucas King'asti Mamndenyi charminglady Mentor TANMO mtu chake kiwatengu Heaven on earth Judgement KOKUTONA YNNAH shansarie zubedayo_mchuzi mimisa sosoliso Paloma C6 Young Master mwananthropolojia mimi49 Madame B Ben Saanane beibe nasty Passion Lady ladyfurahia kipipi Asnam sweetlady Kongosho KakaKiiza Smile amu Ruttashobolwa stevoh Slave Evelyn Salt KakaKiiza ummu kulthum Mrembo by Nature

Special Copy: Invisible Paw Roulette

I remain
Erickb52
Mwenyekiti

Updates:Tamko la Baba V

---Tangazo la Arabela----


---Maoni ya Demba na Kaizer---


--
-Maoni ya Sosoliso---



 
mwaJ hebu acha ushankunaku wako.
Halafu na wewe Chocs unashabikia nini wakati wee mwenyewe ni muhanga wa mapenzi kama mimi? Erickb52 hongera sana kwa kuukwaa u prezidaa wa malove love, sipati picha mijimama itakavyokuwa ikikushobokea, haswa Madame B
Halafu wewee! Kila ninavyojitahidi kuwa rafiki best unanishushua! Kuanzia leo nasusa. Na nisisikie unaniitaita mwaJ mwaJ mara ng'o ng'oo ng'ooo mara ng'e ng'e ng'ee! Utabaki hivyo hivyo, leo unaoa kesho umetemwa.
 
Sijambo presidaa. Kwa vile sina matatizo ya ndoa naweza kujitolea kuwa mzee wa baraza la washauri wa ndoa? Wazee wengine wa baraza unaweza kuwalipa posho ya vikao mie sitaki kulipwa najitolea tu.
 
yaani bora kaka umefanya jambo la maana kushika cheo hicho kwani huyu amefanya watu tukorofishane hovyo na kuhaaribu hali ya hewa humu mjengoni nakupa bigup bro kaza buti tuko pamoja

Asante ladyfurahia
Ntaanza kazi rasmi....nilikuwa naandaa mkakati wa kuweka mambo sawa.
Niko tayari kwa kazi sasa!
Haya nambie unamkubali Mentor ?
 
Last edited by a moderator:
Sijambo presidaa. Kwa vile sina matatizo ya ndoa naweza kujitolea kuwa mzee wa baraza la washauri wa ndoa? Wazee wengine wa baraza unaweza kuwalipa posho ya vikao mie sitaki kulipwa najitolea tu.

Nimekukubali mwaJ
Haya kazi ni kwako!
 
Last edited by a moderator:
Nimekukubali mwaJ
Haya kazi ni kwako!
Kwi kwi kwiiiiiii! Ntapataje taarifa za watu sasa? Ule mpango wangu wa kuandika riwaya based on stories karibia utafanikiwa. Eishiiiii! Nimewaza kwa sauti.
 
Nikiwa kama mwenyekiti wa tume ya nidhamu na itifaki CC. Wana CC wana haki ya kuchagua mgombea wanayemhitaji sawasawa na katiba mpya ya CC.na kwa sasa Baba V yupo chini ya ulinzi mkali kabla ya kupelekwa jukwaa la siasa kama mkimbizi wa kisiasa baada ya kupinduliwa.
Kwa uongozi mpya natoa tamko rasmi la kuheshimu maamuzi ya wananchi na kuanzia sasa Erickb52 ni mwenyekiti wa CC kwa muda wa miezi mitatu ambapo uchaguzi utaitishwa upya.

Hivi bado tu mnajitekenya na kucheka wenyewe!?? nilikaa kimya kwenye huu uzi kwa makusudi, now I know the price for each one of you. Nimeingia mwenyewe... Haya mwenye swali...!? MIMI NDIO MWENYEKITI HALALI..
 
Last edited by a moderator:
yaani bora kaka umefanya jambo la maana kushika cheo hicho kwani huyu amefanya watu tukorofishane hovyo na kuhaaribu hali ya hewa humu mjengoni nakupa bigup bro kaza buti tuko pamoja

Mtakapokuja shituka mkenge mliouvagaa itakuwa ndo ntolee...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom