Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
..kumbe ndio maana mamii@Preta ananipotezea kumbe waswahili washatia neno..thanx kwa taarifa...
..kumbe ndio maana mamii@Preta ananipotezea kumbe waswahili washatia neno..thanx kwa taarifa...
Umemuona mwenyeketi mstaafu anatafuta huruma ya kule?..............
.......................
..................................am back.............hali imetulia sasa.....wale masalia muwe makini sana.....
Hahahahaaa Bujibuji umenichekesha sana aisee lol
HAKUNA KITU KAMA HIKI POPOTE PALE DUNIANI. YANI UJITANGAZE MWENYEWEWE NA UJITHIBITISHE MWENYEWE ALAF USEME UNAONGOZA WATU AU UNAJIONGOZA MWENYEWE?
Baba V ni mwenye kiti halali, ni bora uombe uchaguzi kuliko kutumia hii njia lazima ushindwe.
umechaguliwa na nani?
kila kitu umefake.
kwa mimisa huwa sitongozi mkubwa! namteka tu!! tunaburudika then namwachia!
Mchunge mumeo
Salama Queen...maisha mafupi acha tujipe raha!kwema best? Naona we na shem mmeamua kufanya yenu!!!