TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

Status
Not open for further replies.
mwaJ hebu acha ushankunaku wako.
Halafu na wewe Chocs unashabikia nini wakati wee mwenyewe ni muhanga wa mapenzi kama mimi? Erickb52 hongera sana kwa kuukwaa u prezidaa wa malove love, sipati picha mijimama itakavyokuwa ikikushobokea, haswa Madame B
Lol nisimshabikie mume wangu Erickb52 nimshabikie nani...!
Wee Madame B ni wifi yangu kipendhi
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha naomba limtoke Baba V aache kung'ang'ania madaraka aachie na wengine

Demokrasia ndo ikupe mbona waingia kama amin wa uganda tena. eti una ufunguo wa kuingia ndo maana unabadili maandiko. kama ni kweli una matatizo dogo angukia tu.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Erickb52, nami nitaleta tangazo la ndoa yangu lol.

Najua litapita bila mizengwe eti?
 
Last edited by a moderator:
huyu mzee anapenda sana kung'ang'ania madaraka sijui kama utawezana naye labda uonane na Katavi akupe ujanja wa kumng'oa. Maana kuna waliokuja na speed kama yako wakatulizwa kama kitenesi!

Hivi sasa Baba V hana ujanja wowote hivi sasa, Erickb52 usihofu chochote hapo.
 
Last edited by a moderator:
Nahisi Baba V ndio alikuwa ananiharibia kila nikitaka kutangaza ndoa nakuwa mzito, muda si mrefu naleta tangazo humu nina uhakika mwenyekiti mpya hataleta mizengwe.
 
Last edited by a moderator:
Nikiwa kama mwenyekiti wa tume ya nidhamu na itifaki CC. Wana CC wana haki ya kuchagua mgombea wanayemhitaji sawasawa na katiba mpya ya CC.na kwa sasa Baba V yupo chini ya ulinzi mkali kabla ya kupelekwa jukwaa la siasa kama mkimbizi wa kisiasa baada ya kupinduliwa.
Kwa uongozi mpya natoa tamko rasmi la kuheshimu maamuzi ya wananchi na kuanzia sasa Erickb52 ni mwenyekiti wa CC kwa muda wa miezi mitatu ambapo uchaguzi utaitishwa upya.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom