Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
- Thread starter
- #121
Kwanza naahidi wote waliona wapenzi watafurahia mapenzi yao kwa kuwa na usalama wa kimahusiano...na ndoa zote zitaheshimiwa na wote haatakuwa namigogoro tena wala kuingiliana kwenye ndoa kama wakati wa huyu mzee Baba VNi mabadiliko gani utayaleta?
Kwa walio single watahakikishiwa kupata maisha mazuri ya kupata couple wazitakazo!
Nawewe kama uko kundi lolote nauhakika utafurahia uongozi wangu!
Najiamini sana na nina uwezo kuliko Baba V (Skrepa kwa sasa)
Last edited by a moderator: