Husika na kichwa cha habari..!
Kuanzia leo
Erickb52 nitakuwa mwenyekiti wa mahusiano cheo ambacho nimekichukua kutoka kwa Mwenyekiti wa awali
Baba V .Nimeamua kukichukua kwa kuwa mimi ndiye nilimpa dhamana.
Sababu za kumvua uongozi ni hizi:
1. Hana mke hivyo hana uzoefu na mambo ya ndoa
2. Amehusika na uvunjifu wa ndoa nyingi
3. Amekuwa akitongoza wake za watu akiwemo mke wangu
Chocs na
kipipi
4. Anatumia ubabe kutoa maamuzi na majibu mabaya
5. Anafungisha ndoa kwa kuhongwa (Kama ya
Arabela na
nitonye )
6. Amekuwa akieneza fitina na kukuza ugomvi kwa wanandoa
7. Hasikilizi mapingamizi ya ndoa toka kwa watu
Hivyo kutokana na sababu hizo....NATANGAZA RASMI kuwa
Baba V sio Mwenyekiti tena, na kuanzia sasa mimi
Erickb52 ndiye MWENYEKITI na nitasaidiwa na
Chocs (Mke wangu kipenzi) Atakaye hakikisha usalama wangu ni
zubedayo_mchuzi
Wanakamati watakuwa wafuatao:
watu8 na mkewe
measkron ,
Filipo na
marejesho ,
Kaizer na
DEMBA Arushaone na
Lady doctor na
Bishanga na
The secretary
Mwisho natoa tamko kuivunja Ndoa ya
Arabela na
nitonye na ndoa zote zenye mashaka ziwasilishwe kwa ajili ya kuzipitia upya na kamati nzima.
Copy kwa:
Mr Rocky Asprin mwaJ AshaDii gfsonwin snowhite SnowBall sakapal Dena Amsi Remmy BADILI TABIA Nicas Mtei BAGAH Lucas King'asti Mamndenyi charminglady Mentor TANMO mtu chake kiwatengu Heaven on earth Judgement KOKUTONA YNNAH shansarie zubedayo_mchuzi mimisa sosoliso Paloma C6 Young Master mwananthropolojia mimi49 Madame B Ben Saanane beibe nasty Passion Lady ladyfurahia kipipi
Asnam sweetlady Kongosho KakaKiiza Smile amu Ruttashobolwa stevoh Slave Evelyn Salt KakaKiiza ummu kulthum Mrembo by Nature
Special Copy:
Invisible Paw Roulette
I remain
Erickb52
Mwenyekiti
Updates:Tamko la Baba V
---Tangazo la Arabela----
---Maoni ya Demba na Kaizer---
---Maoni ya Sosoliso---