TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

Status
Not open for further replies.
"Amekuwa akitongoza wake zangu akiwemo Chocs na kipipo"
Mwisho wa nukuu.
Naomba ufafanuzi tafadhali ukizingatia mmoja ni dadangu na mwingine.........
 
Last edited by a moderator:
ule udugu tulopinga kumbe ulikua danganya toto?
huniteki tena[

som1 ajitokeze awe bodigadi upesiiiQUOTE=kiwatengu;7204434]kwa mimisa huwa sitongozi mkubwa! namteka tu!! tunaburudika then namwachia![/QUOTE]
 
ule udugu tulopinga kumbe ulikua danganya toto?
huniteki tena[

som1 ajitokeze awe bodigadi upesiiiQUOTE=kiwatengu;7204434]kwa mimisa huwa sitongozi mkubwa! namteka tu!! tunaburudika then namwachia!
[/QUOTE]

mimisa!
 
"Amekuwa akitongoza wake zangu akiwemo Chocs na kipipo"
Mwisho wa nukuu.
Naomba ufafanuzi tafadhali ukizingatia mmoja ni dadangu na mwingine.........
Hahahaa
Unataka ufafanuzi gani?
Huyo Kipipo na nani nani nimekosea kuona? Baba V anawalazimisha sana aiseee hadi wanakosa raha
Wao ndio mashahidi
Halafu nawewe naona unataka kuchafua hali ya hewa...haya huyo mwingine ni nani wako?
 
Last edited by a moderator:
Mwanaharamu wewe hayo mapinduzi ni haramu ndoa iko pale pale
Hahahahaaa usijali nitonye
Ndoa yenu na Arabela tutaifungisha sisi wenyewe....iko pale pale sema tu itasogea mbele kidogo!
Tuna nia njema na ninyi wala usiwaze!
 
Last edited by a moderator:
Mtumeeee!!!!! Yaaani kaka binamu umeamua kuomba rungu uingie nalo rupango? Wafungwa watapona kweli???
Kwanini wasipone binamu?
Mi ni mtu mwema naamini unanijua sana
Kuweni na matumaini yatakaa sawa!
Huyu mzee mwache apumzike nahisi hata uzee unachangia mabaya
 
Erickb52 hebu niambie kuna nini tena..maana sikuwepo cc kwa muda kdg
Kuna huyu jamaa anajiita Baba V tuliye mpa dhamana kulinda ndoa na mahusiano yetu amekuwa ndiye wa kwanza kuzivunja kama alivyofanya kwako na Preta so nimeona nijirudishie madaraka yangu ili amani irudi kwa ndugu zangu
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…