TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

Status
Not open for further replies.
mhhhhhhhhhhhhh Erickb52 ina maana Mama v hakuwa mke halali wa Baba V?
C6 umewahi kumuona Mama v hata siku moja hata akijaribu kusuluhisha ndoa yoyote humu?
Hilo ni jina tu kwa sasa tuko digitali....mamaaa Chocs atahakikisha mapenzi ya watu yako juu sana hata wewe utashangaa umerudiana na mkeo charminglady bila kujua!
Relux mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Kama huo uenyekiiti umejivika mwenyewe basi mimi sikutambui.

hakikisheni watu kama hawatoki kwenda popote

ik1.jpg​
 
Young Master wale wote ambao hakubaliani na mimi nilishawajua tangu mwanzoniii wewe ukiwa ni mmoja wao so hata sihangaiki na nyinyi coz ni asilimia ndogo sana.

N.B Najua ntawaharibia mipango yenu miovu ila sio ishu vumilieni tu mtazoea
zubedayo_mchuzi naomba uhakikishe huyu Young Master haleti shida na yoyote...mkabidhi yule binti amdhibiti coz dawa yake ndogo sana.

Ha ha haaa!! Hakuna binti atakayeweza kunidhibiti labda aniroge.
 
C6 umewahi kumuona Mama v hata siku moja hata akijaribu kusuluhisha ndoa yoyote humu?
Hilo ni jina tu kwa sasa tuko digitali....mamaaa Chocs atahakikisha mapenzi ya watu yako juu sana hata wewe utashangaa umerudiana na mkeo charminglady bila kujua!
Relux mkuu!
C6 & charminglady tatizo lilikua ni nini....karibuni meza ya mazungumzo!
 
Last edited by a moderator:
naona anchelewesha mambo
pamoja na hayo ni bora mugabe Baba V kuliko Erickb52...simuamini kabisa huyu[
Chocs we ukigombea cheo kingine takupa kurrraaaQUOTE=Heaven on earth;7203709]mimisa jamani mbona Baba V ajenda yake kubwa ni kuhakikisha

mumeo anapatikana
[/QUOTE]

mumeo nae kajificha saana,ila baba v bado hajachoka

kuhakikisha anamrejesha nyinbani
 
atanisababisha bifikirie divorce aisee

mumeo nae kajificha saana,ila baba v bado hajachoka

kuhakikisha anamrejesha nyinbani[/QUOTE]
 
Wala usijali vikwazo my Erickb52...i'm here by yourside...
Don't give up the fight!
 
Last edited by a moderator:
Me siungi mkono hoja mwenyekiti ni Baba V
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom