TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

Status
Not open for further replies.
Hali ikiwa shwari utazungumza na wadau na kuwapa mikakati........
Usijali we anza kujiandaa na maadalizi ya awali then within seven days utakuwa na ndoa yenye baraka zoote toka kwa Kwangu na wanakamati wangu na nakuahidi baada ya ndoa nitakupa Ukatibu wa kamati hii cheo ambacho nimekuhifadhia!

Copy kwa Baba V mimisa Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
mi na yeye hakuna tatzo
ila sikubaliani na wewe kua mwenyekiti..namtambua Baba V tu..
Sawa....sio lazma ukubaliane kwa kuwa hata rais huwa hachaguliwi na 100% ya watu
Pia kama hukubaliani inamaanisha umepewa hongo na Baba V ila sio ishu ndio ishakuwa tayari no option
 
Last edited by a moderator:
Husika na kichwa cha habari..!
Kuanzia leo Erickb52 nitakuwa mwenyekiti wa mahusiano cheo ambacho nimekichukua kutoka kwa Mwenyekiti wa awali Baba V .Nimeamua kukichukua kwa kuwa mimi ndiye nilimpa dhamana.
Sababu za kumvua uongozi ni hizi:
1. Hana mke hivyo hana uzoefu na mambo ya ndoa
2. Amehusika na uvunjifu wa ndoa nyingi
3. Amekuwa akitongoza wake za watu akiwemo mke wangu Chocs na kipipi
4. Anatumia ubabe kutoa maamuzi na majibu mabaya
5. Anafungisha ndoa kwa kuhongwa (Kama ya Arabela na nitonye )
6. Amekuwa akieneza fitina na kukuza ugomvi kwa wanandoa
7. Hasikilizi mapingamizi ya ndoa toka kwa watu

Hivyo kutokana na sababu hizo....NATANGAZA RASMI kuwa Baba V sio Mwenyekiti tena, na kuanzia sasa mimi Erickb52 ndiye MWENYEKITI na nitasaidiwa na Chocs (Mke wangu kipenzi) Atakaye hakikisha usalama wangu ni zubedayo_mchuzi

Wanakamati watakuwa wafuatao: watu8 na mkewe measkron , Filipo na marejesho , Kaizer na DEMBA Arushaone na Lady doctor na Bishanga na The secretary
Mwisho natoa tamko kuivunja Ndoa ya Arabela na nitonye na ndoa zote zenye mashaka ziwasilishwe kwa ajili ya kuzipitia upya na kamati nzima.

Copy kwa: Mr Rocky Asprin mwaJ AshaDii gfsonwin snowhite SnowBall sakapal Dena Amsi Remmy BADILI TABIA Nicas Mtei BAGAH Lucas King'asti Mamndenyi charminglady Mentor TANMO mtu chake kiwatengu Heaven on earth Judgement KOKUTONA YNNAH shansarie zubedayo_mchuzi mimisa sosoliso Paloma C6 Young Master mwananthropolojia mimi49 Madame B Ben Saanane beibe nasty Passion Lady ladyfurahia kipipi Asnam sweetlady Kongosho KakaKiiza Smile amu Ruttashobolwa stevoh Slave Evelyn Salt KakaKiiza

Special Copy: Invisible Paw Roulette

I remain
Erickb52
Mwenyekiti

2.jpg

hizo ni kwa vijana watakao pewa jukumu la kulinda ofisi
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mtu ambaye ashaweza mpindua Baba V...ngoja nione utatumia stretejiz zipi hahaha
Hakuna aliyewahi kumpindua zaidi ya kulalama tu....mimi ndiye nilimuweka Baba V na nimeamua kumtoa ili kurudisha Amani kwenye ndoa za watu..
Acha watu waeonjoy malove dove sio kila siku migogoro utadhani hatuna kiongozi.

Hii ni taarifa rasmi na ninatambulika kama Mwenyekiti labda Baba V tumuundie cheo chake!
 
Last edited by a moderator:
mimisa nakuhakikishia hii kamati yangu itamrudisha mumeo mwananthropolojia haraka iwezekanavyo na hutakuja uone kapotea tena
 
Last edited by a moderator:
Kama huo uenyekiiti umejivika mwenyewe basi mimi sikutambui.
Young Master wale wote ambao hakubaliani na mimi nilishawajua tangu mwanzoniii wewe ukiwa ni mmoja wao so hata sihangaiki na nyinyi coz ni asilimia ndogo sana.

N.B Najua ntawaharibia mipango yenu miovu ila sio ishu vumilieni tu mtazoea
zubedayo_mchuzi naomba uhakikishe huyu Young Master haleti shida na yoyote...mkabidhi yule binti amdhibiti coz dawa yake ndogo sana.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom