TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

TANGAZO: Erickb52 awa Mwenyekiti wa Mahusiano JF

Status
Not open for further replies.
heeeee
uyu anakusaidia alafu unamchimba mkwara ivooo
Baba V ndio nani........haya mapinduzi hayaja mwaga DAMU so nachukua jukumu la kuhakikisha ulinzi wa ikulu yako kwa asilimia mia ila,uhai wako ninao mimi ukicheza nakupoteza funga domo lako kabisa....najua umepindua kwa maslahi gani nakuonya mapema...........
 
heeeee
uyu anakusaidia alafu unamchimba mkwara ivooo

huyu kachukua ichi kiti ili ajifungishe ndoa yy na MIMI NAJARI watoto wangu ambao wapo chini ya uangalizi wa Arabela nime mwonnya mapema,nishasambaza vikosi vyangu
 
hala hala na damu za wasio na hatia...
huyu kachukua ichi kiti ili ajifungishe ndoa yy na MIMI NAJARI watoto wangu ambao wapo chini ya uangalizi wa Arabela nime mwonnya mapema,nishasambaza vikosi vyangu
 
siiungi mkono hata kidogo...labda moja ya agenda yao iwe kumtafta alopotea mwananthropolojia
apo naweza kuwafikiria...vingnevo,hapana

mwananthropolojia yupo GOMA akiwa kama undercover anafanya kazi ya kizalendo na mission ikiisha atarudi,nimempa kazi aandae security structure,.........
 
Last edited by a moderator:
nna mashaka na hiyo kamati yako inabidi ichunguzwe mara mbili mbili
Kamati iko fair sio kama mwanzo madaraka yote anayo mtu mmoja
Hivi ndivyo tulivyokububaliana na wanakamati mwanzo kabla Baba V hajajimilikia maamuzi
 
Last edited by a moderator:
naona anchelewesha mambo
pamoja na hayo ni bora mugabe Baba V kuliko Erickb52...simuamini kabisa huyu[
Chocs we ukigombea cheo kingine takupa kurrraaaQUOTE=Heaven on earth;7203709]mimisa jamani mbona Baba V ajenda yake kubwa ni kuhakikisha

mumeo anapatikana[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
hapana asee...kwa kulinda masilahi yako na wanao
usimtumie my mwananthropolojia tafwadharrrr...
mwananthropolojia yupo GOMA akiwa kama undercover anafanya kazi ya kizalendo na mission ikiisha atarudi,nimempa kazi aandae security structure,.........
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh hapana mimisa bado hujanishawishi
naona anchelewesha mambo
pamoja na hayo ni bora mugabe Baba V kuliko Erickb52...simuamini kabisa huyu[
Chocs we ukigombea cheo kingine takupa kurrraaaQUOTE=Heaven on earth;7203709]mimisa jamani mbona Baba V ajenda yake kubwa ni kuhakikisha

mumeo anapatikana
[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom