TANGAZO KWA UMMA: Epuka mimba Feb 14 kwa kuzingatia yafuatayo

Kwani huyu nani jamani maana naona id ya kike kike kulikoniπŸ€·πŸ½β€β™€οΈ
Huyu mlikua mnabebishana kwenye ID yake ya zamani mwaka jana, ni mwanaume.

Umeplekee au we ndio unaletewa? Mbona mnatuchanganya πŸ«’πŸ™„
Haa haaa, hiyo ni hoteli iko huko milimani Lushoto, ndiyo anasema akupeleke.

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Nimechekaa kweli aiseee Kwa hii comment, mtu unanyimwa wapata makasiriko ee
Ngoja akikunyima na mshafika Tanga ndiyo utajua πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…