Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #121
Ila unamtesa sana jamani ๐ ๐View attachment 3539150
Hahaaa sugua goti kijana
Pesa yako tu boss kubwa๐ ๐ Na ya nyongeza nitapata we jamaaa yangu
Akome kwakweli ๐คฃ๐Ila unamtesa sana jamani ๐ ๐
Sawa boss yangu na jamaa yangu.. niletee mbili tu ๐๐Pesa yako tu boss kubwa
Kejeri za mshangazi na zifike mbele zako eee baba, unibariki nimtumbue majipu!View attachment 3539150
Hahaaa sugua goti kijana
Sawa ntakutumia soft copy..Sawa boss yangu na jamaa yangu.. niletee mbili tu ๐๐
Utapata tu rafkiangu usimsumbue babaKejeri za mshangazi na zifike mbele zako eee baba, unibariki nimtumbue majipu!
Hivi vi-juice hapana kwakweli labda kupooza tu koo..๐คJamaa yangu Seran karibu ujipigie kamoja hapaView attachment 3539158
๐๐ Na hardcopy jamaaSawa ntakutumia soft copy..
Hivi tunakunywa wamama eeeh ๐๐๐Hivi vi-juice hapana kwakweli labda kupooza tu koo..๐ค
Ondoa shaka jamaa๐๐ Na hardcopy jamaa
Sawa jamaa yangu wa ukweli nakuaminia๐ฅณOndoa shaka jamaa
Ndioo, sisi wababa tunapenda hard core drinks kipenziโบ๏ธHivi tunakunywa wamama eeeh ๐๐๐
Sawa mubaba jamaaa, mie sina neno atiii..๐ mambo yenu magumu magumu yatachoma koo bureNdioo, sisi wababa tunapenda hard core drinks kipenziโบ๏ธ
Mie nilishafunga mahesabu kitaaambo๐คฃ๐คฃ๐คฃMabinti na wanawake wa JF - Atoto , ephen_ , Lamomy , Mallerina , Evelyn Salt , Seran , shibela , Dr. Mariposa , Aaliyyah , nakwede97 , Demi , leo dada , Joanah , Joannah , kiss ov love - waiteni na wengine!
Mbona mapema hivi, hutaki kamoja ka kuhangaika nako uzeeni ๐ !Mie nilishafunga mahesabu kitaaambo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Niko single mimba naitolea wapi mahi? ๐น๐น๐นMabinti na wanawake wa JF - Atoto , ephen_ , Lamomy , Mallerina , Evelyn Salt , Seran , shibela , Dr. Mariposa , Aaliyyah , nakwede97 , Demi , leo dada , Joanah , Joannah , kiss ov love - waiteni na wengine!
Kama una mchuano, kuna namna ya kuavoid hizo tarehe, ichelewe chelewe ๐คฃ๐คฃ๐๐๐๐
Huwezi jua Ex atarudi na mbinu gani za kukulainisha mwanakwetu ๐Niko single mimba naitolea wapi mahi? ๐น๐น๐น