TANGAZO KWA UMMA: Epuka mimba Feb 14 kwa kuzingatia yafuatayo

Mbona elimu inatolewa, sema vijana tu wanakaza mafuvu!
Mhm sio kama kipindi cha nyuma , kipindi cha nyuma mpaka waliweka sinema za video za hayo magonjwa, mabango kila kona vipeperushi ndio usiseme, hii ilinifanya mpaka leo nimuoga , nafikiri hata wa rika langu pia ni waoga tu.

Ila vijana wa sasa hawajali wala kuwaza
 
Vijana wa sasa tunapepeyaa😅
 
Ni kweli, nakumbuka kuona picha kwenye kipeperushi cha mgonjwa na vidonda vyake, nikaogopa mno mambo ya ngono zembe.

Pia wakati tunakua, mila na desturi zetu zilizingatiwa. Sasa hivi na mambo ya mitandao, watu wanaiga kila wanayoyaona huko duniani, inakuwa hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…