Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

Mimi nimefanikiwa mkuu, toka jana sema nilihangaika na website toka mchana mpaka jioni ndo nikafanikiwa, so inabidi ukomae nao mpaka ukubali
nimeona kigezo cha elimu mwisho 4 ya 28 je ukiwa na 29 unaweza ukaomba izo ajira
 
Hii haina kigezo cha JKT Kazi kwenu vijana
Sahihi haina hicho kigezo

Ila
Kwenye mfumo kuna kipengele cha Other Qualification , Hivyo wale wenye vyeti husika JKT/ JKU wanaweza weka taarifa zaao na ku_upload cheti husika.
 
Mbona website yao haifunguki, kuna yeyote amefanikiwa kufungua website na kutuma atusaidie wengne???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…