Hajto
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 5,646
- 5,606
nimeona kigezo cha elimu mwisho 4 ya 28 je ukiwa na 29 unaweza ukaomba izo ajiraMimi nimefanikiwa mkuu, toka jana sema nilihangaika na website toka mchana mpaka jioni ndo nikafanikiwa, so inabidi ukomae nao mpaka ukubali