Tangazo la Ajira ya Kuzika Maiti zisizotambulika latolewa Mkuranga. Hizo maiti zitakuwa zinatoka wapi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Screenshot_2024-08-25-17-18-19-1.png

Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu

Screenshot_2024-08-25-17-18-36-1.png

Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
 
Yaani hapa kosa ni kutangaza tuu hii nafasi??

Mbona hizi kazi zipo miaka mingi na sidhani kama kuna mtanzania hadaway kusikia kuna watu wanazikwa na manispaa au halmashauri ya mji.

Kuna mambo wakati mwingine huwa mnajiaibisha sana tuu, watu kutekwa imekuwa ni suala la kisiasa zaidi kwa hizi trend mnazoleta humu.
 
Kumbuka: Hata yule Mwandishi wa Habari Bw. Azory Gwanda zipo taarifa kwamba alitekwa na 'watu wasiojulikana' akiwa huko huko Mkuranga zilikotangazwa hizi nafasi za kuzika Watu wasio na ndugu.
 
Yaani hapa kosa ni kutangaza tuu hii nafasi??

Mbona hizi kazi zipo miaka mingi na sidhani kama kuna mtanzania hadaway kusikia kuna watu wanazikwa na manispaa au halmashauri ya mji.

Kuna mambo wakati mwingine huwa mnajiaibisha sana tuu, watu kutekwa imekuwa ni suala la kisiasa zaidi kwa hizi trend mnazoleta humu.
[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hata yule aliyekuwa Boss wa Wizara ya Fedha Bw. Leopold Lwajabe aliyetekwa Dsm na baadaye tulitangaziwa na Jeshi la Polisi kwamba maiti yake 'iliokotwa msituni' huko huko Mkuranga. Suala hili linahitaji mjadala wa kina na utafiti wa kina kabisa.
Intelejensia yetu inafanya kazi for the sake of politicians tu
 
Kuna kitu nyeti (kosa nyeti) huyo bwana itakuwa alifanya 🤔🤔🤔

Back
Top Bottom