sasa mkuu hilo ni suala la kuleta mjadala kweli? kama kuna wagonjwq wanatelekezwa hospitalini bila ndugu itakuwa maiti? kuna watu wanakufa kwenye ajari na hakuna mtu anawatambua watazikwa wapi?
Kabla ya tangazo hili, Je, hizo maiti zilikuwa zinazikwa wapi na zilikuwa zinazikwa na nani???
 
Weka reference ya matangazo angalau 3 kutoka halmashauri 3 tofauti ukiondoa halmashauri za majiji ambako wageni kutoka Mikoa mbalimbali huenda kutafuta fedha.
Mkuranga ni kama kijiji, hao wanaokufa bila kutambuliwa na ndugu zao walikwenda kutafuta nini?
 
Nashangaa sana Makada wa Cdm kuhusisha ajira za kuzika wafu waliokosa ndugu. Mnakuwa kama mburula?

Mimi nikiwa primary school niliwahi kushuhudiwa mzee mmoja aligongwa gari. Bahatu mbaya mke na watoto hawakupata taarifa. Alozikwa na halimashuri . Lakini baada ya mke kuja kufahamu walifukua mwili na ukazikwa upya kwa heshima zote. Hii ilikuwa 1994 huko Mwanza kabla sijahamia Igunga

Hii ni ajira ya kawaida isihusishwe na utekaji. Hata ulaya watu kama hawa wapo.
 
Inafikirisha tujipe Muda , miongoni watakao fanikiwa kupata Hiyo kazi basi kuna mengi watatuambia na kuna watu pia wanaweza kuonana na ndugu zao
 
[emoji7][emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Shows any advert like this from city like Dodoma,Arusha,Mwanza,Dar es…Salaam ,you can name it….
Lets assume the small population of Mkuranga District has this problem of un recognized bodies to the extent that they need more people to burry them?
Where these bodies coming from that can be recognized?
 

Attachments

  • IMG_2851.jpeg
    1.1 MB · Views: 2
haya yte anayeharibikiwa ni Samia! Yataandikwa kwenye historia ya utawala wake kuwa wakuliwa na quite a large number of unaccouted deaths katika utawala wake ambao walisadikiwa kuuawa na polisi na TISS iliyokuwa chini yake directly.
Ya kwamba kila mgonjwa anayelazwa sehemu za huduma za afya ana NDUGU ?!!

Ya kwamba akifariki mgonjwa basi halmashauri haziziki ndugu zetu hao ?!! [emoji44][emoji44]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
UNATAKA KUZUA TAHARUKI KIJINGA SANA NDUGU
HIYO NI AJIRA KAMA AJIRA NYINGINE TENA WANAPASWA KUPEWA MAFUNZO NA VIFAA KISASA KABISA NA MASHEHE PAMOJA NA MAPADRI, WACHUNGAJI WANAPASWA KUWEPO KWENYE MAZIKO YA HAO WAPENDWA
 
Inakuwaje itengenezwe taharuki pale ambapo halmashauri inapotoa tangazo la ajira ya kuzika ndugu zetu wasiotambuliwa na wasio na ndugu ?!!![emoji44][emoji44]

Hivi zile ajira za kufanya kazi "MOCHUWARI" katika hospitali zetu huwa hazitangazwi ?!!

Hivi wanafunzi wa udaktari wanaposoma "ANATOMY" mwaka wa kwanza huwa hawatumii miili ya maiti ?!!

Zile "CADAVA-maiti" huwa ni watu wanaotambulika na jamii ?!!

Tumesahau ile kadhia ya CHUO KIKUU CHA IMTU kule Mbezi ?!!

Kwa kuwa JF ina watunduizi wa fikra basi hili tangazo la kutafuta wafanyakazi wa kuzika miili isiyotambulika wala si la kutuletea HOFU ,SONONA NA TAHARUKI....

Duniani kuna watu wapuuzi na hupuuzwa....

#Nchi Kwanza[emoji7]
#Tanzania milele[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…