Umeona wapi? Mwaga maelezo mbona unabania kijana.Kuna mchongo wa kuosha/kuandaa maiti huko ng'ambo. Dola 2,500 per month.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona wapi? Mwaga maelezo mbona unabania kijana.Kuna mchongo wa kuosha/kuandaa maiti huko ng'ambo. Dola 2,500 per month.
Huenda ni halimashauri zote zimeagizwa kutoa ajira kwenye kitengo tajwa kutokana na huepo wa hizo nafasi hivyo tutarajie kupungua kwa tatizo la uhaba wa ajira. Nadhani halmashauri zote zitatoa tangazo la namna hiyo.View attachment 3078971
Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu
View attachment 3078972
Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
Hiyo sijaona mkuuYa kunyonga hamna
Ya kunyonga ham
Hiyo Mcheki Faustin MafweleYa kunyonga hamna
Miaka ya nyuma sana Saudia waliweka tangazo hiloHiyo sijaona mkuu
Simjui kwa kweli huyoHiyo Mcheki Faustin Mafwele
Ni kiongozi wa Watekaji, anapatikana Chang'ombe Polisi, DSMSimjui kwa kweli huyo
Hospital za Sasa upewe Hadi kitanda hadi kukata Moto bila kupita kwa keshia ?? Sijawahi ona hii! ?? Yaan Ina come vip usitambulike?? Au hospital inazalishaje maiti isiyitambulika? Kwa ujuaji wangu mdogo mi najua polisi ndio wanapeleka maiti hospital! Sasa SI waajiri wazikaji wenyewe why hospital inabeba huo msala? Hospital inapaswa kurudisha hao marehemu huko huko polisi!Tunatengeneza TAHARUKI isiyo na mashiko.....
Kila hospitali inakuwa na MAITI zisizotambulika....
Hospitali zetu hizi ziko chini ya HALMASHAURI....
Si kila mgonjwa aliyelazwa hospitali huwa ANAJULIKANA.....
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kazi ya MAFWELE hiyo, yule jamaa ni kama zombi tuView attachment 3078971
Bali kuna Maswali yanayohitaji majibu
View attachment 3078972
Pia soma:Maiti 69 zazikwa na Jiji la Dodoma baada ya kukosa ndugu
Tunapokea kesi kama hizo kila uchwaoHospital za Sasa upewe Hadi kitanda hadi kukata Moto bila kupita kwa keshia ?? Sijawahi ona hii! ?? Yaan Ina come vip usitambulike?? Au hospital inazalishaje maiti isiyitambulika? Kwa ujuaji wangu mdogo mi najua polisi ndio wanapeleka maiti hospital! Sasa SI waajiri wazikaji wenyewe why hospital inabeba huo msala? Hospital inapaswa kurudisha hao marehemu huko huko polisi!
Kweli bhanaHuwa nakuona hamnazo, kumbe nipo sahihi