Tatzo hakuna Gharama ya Malipo....?
Je manispaa wanafanya kaz gan
 
Hili suala la kuzikwa na halmashauri au manispaa lipo tangu zamani.
Nakumbuka tulikuwa tunaaswa kutosafiri ovyovyo bila kutoa taarifa kwa ndugu wa karibu.
Maana waweza kupata ajali ukazikwa na manispaa.
 
Yani ajira sijawahi kuziskia huku nilipo zinatangazwa humu zaidi zaidi tu ni mikoani huko Sina nauli siwezi kufika
 
Hospital za Sasa upewe Hadi kitanda hadi kukata Moto bila kupita kwa keshia ?? Sijawahi ona hii! ?? Yaan Ina come vip usitambulike?? Au hospital inazalishaje maiti isiyitambulika? Kwa ujuaji wangu mdogo mi najua polisi ndio wanapeleka maiti hospital! Sasa SI waajiri wazikaji wenyewe why hospital inabeba huo msala? Hospital inapaswa kurudisha hao marehemu huko huko polisi!
 
Tunapokea kesi kama hizo kila uchwao
Kuna watu wanagongwa wanapoteza faham wanazinduka hawana kumbukumbu wanauguzwa wanakufa wengine wanapona wanapewa msaada na taasisi za misaada kutafuta ndugu
Jukumu letu kama watoa huduma ni kuokoa maisha wagonjwa wasiotambulika tunawabatiza UNKNOWN
Siku akipona akajulikana ndio gharama zitalipwa
 
Aisee sasa Ndio makaburi yetu hayo Mbwa sisi?Tutamkubusha akitoka madarakani.

Humu humu mtandaoni.
 
Kitengo cha Katiba Mpya inatanganza Fursa ya Mtu mmoja wa Kumyonga mwanadamu mwenye makosa kwenye Jamii..

FanyaKazi: Na UNHCL.. Watanzania wengi watanunua Nguo kutoka china..

Sifa..

Uwe Mtanzania

Sura kama ya Yesu

Uwe umesoma zaidi ya Uprofessa


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…