Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

Sasa utakataa vipi wakati wote ni walimu, na aliyemthibitisha kuwa ni mwalimu ni serikali kwahiyo sisi hatuna mamlaka ya kum- disqualify, kidato Cha nne matokeo two ya mtihani wa taifa kulikuwa na A 0,B 0,C 3, D 12 na F 67
Tatizo la walimu wa aina yako huwa na midomo mirefu sana na majungu kama haya , ujinga kama huu sijauona kwenye kada zingine wao wanajua kusitiriana mbele ya jamii hata kama mwenzao ana madhaifu.
 
Mbona mama zenu wame wazaa fresh tu na hawajui English... Anzeni kutukana mama zenu kabla hamjatukana walimu...
Hasira zenu za kukosa kazi na kukaa kwa waume wa dada zenu msiwatwishe walimu... Viongozi wenu wenyew hawajui English sembuse walimu...
Na kiingereza chao kibovu hikohiko wanalipwa mshahara na wamewafundisha maisha na mnajifanya mnajua English ipi sasa..? 😂
 
Hakielimu ni miongoni mwa taasisi inayo dhalilisha walimu kwa kiwango kikubwa sana kupitia matangazo yao

Ni matangazo yanayo dhalilisha walimu katika jamii kwa kiwango kikubwa sana mara nyingi wao tafiti zao huwa zinaishia kwa walimu na sio wanafunzi wala serikali wala wazazi wa wanafunzi.
 
Usikute haki elimu ni ya mwekezaji toka nje,lengo kuwadown grade walimu wetu.
Tuwachimbue.
Zipo idara nyingi sana tanzania zina huduma mbovu mbona hakuna vitu jamii ya hakielimu kuchambua madhaifu hayo? Kwa nini iwe ni elimu na si afya wala kitu kingine?
 
Linatudhalilisha watz wote kwamba hatuwezi kumudu lugha za kigeni.
Hakielimu wanapokea fedha za wafadhili kudidimiza elimu.
Kama Serikali haitagundua hizi njama tutashindwa vita vya uchumi EAC na duniani!
 
Kabla ya kulipiga 'stop' wahusika na wadau watafiti kama kuna ukweli au la. Ingawaje hata hao watafiti kama ni wa ndani wanaweza wasione ukweli!!
 
Tuacheni unafki, asilimia kubwa ya walimu wanaongea broken english.
Hata asilimia kubwa ya viongozi wetu wakiwamo Mawaziri na hata Maraisi wanaongea broken pia, lakini mbona hao hawaigilizwi Ni Walimu tu kila siku?

Kuna aibu za chumbani, zinamaliziwa chumbani sio ukumbini shekhe!
 
Atumie kiswahili
 
Hii kwangu sio ishu, eti kwamba lugha ndo chanzo cha mwanafunz kutoelewa na kufeli.. wengi wetu tumetokea shule za st.kayumba na sekondar tukasoma za kata hakuna walimu na bdo tukasoma na kufaulu vzur tuu... hilo la lugha sio point
Ulikariri hukuelewa.
 
siyo walimu wote wamefika chuo.Wengine hadi wamemaliza kidato cha4 hawajuwi tensi wala hawajawahi kuongea kingereza shule.Wakabahatika kwenda chuo cha ualimu unadhani huko ndiyo watajuwa kingereza?
 
Kwani kujiboresha na kuwa mwalimu bora ni kujua kuongea kingereza kwa ufasaha!? Ndivyo mlivyo kalilishwa na wajinga wenzenu kwamba kuongea kingereza ndio kustaarabika na kuwa na akili!? Kweli wajinga na watumwa wa mawazo bado mpo wengi sana nchi hii.
Bora hata umemjibu. Maana akili yake imejaa makamasi kama ya hao wapuuzi wenzake wa Haki Elimu.
 
Kwani kujiboresha na kuwa mwalimu bora ni kujua kuongea kingereza kwa ufasaha!? Ndivyo mlivyo kalilishwa na wajinga wenzenu kwamba kuongea kingereza ndio kustaarabika na kuwa na akili!? Kweli wajinga na watumwa wa mawazo bado mpo wengi sana nchi hii.
Uelewa wako ni mdogo kama mawazo yako mgando. Mwalimu anayefundisha english basi awe bora na si bora mwalimu, mwalimu wa chemistry awe mbobezi katika fani hiyo and so on.

Ni kitu kipi kinachosumbua ubongo wako mwalimu kashasha?
 
Hata asilimia kubwa ya viongozi wetu wakiwamo Mawaziri na hata Maraisi wanaongea broken pia, lakini mbona hao hawaigilizwi Ni Walimu tu kila siku?

Kuna aibu za chumbani, zinamaliziwa chumbani sio ukumbini shekhe!
Shida ni kwamba chumbani hutaki kuyamaliza na ukumbini pia bado hutaki kuyamaliza, tukamalizie wapi sasa shekhe?
 
Uelewa wako ni mdogo kama mawazo yako mgando. Mwalimu anayefundisha english basi awe bora na si bora mwalimu, mwalimu wa chemistry awe mbobezi katika fani hiyo and so on.

Ni kitu kipi kinachosumbua ubongo wako mwalimu kashasha?
Usicho kijua kuhusu lugha ni kwamba kuna lugha ya mazungumzo na lugha ya kufundisha hivi ni vitu viwili tofauti kwa walio soma linguistic wananielewa vyema lakin wewe sidhani kama utanielewa maana nakuona kabisa kichwani mtupu ingawa wewe unajiona mahiri.

Na ndio maana wakenya ni walimu wazuri sana wa kiswahili na wana aminika mataifa ya wasio tumia kiswahili lakini wana kiswahili kibovu sana cha kuongea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…