Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa.

Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua kiingereza kwa watu wake?

My take:
Tangazo lile lipigwe stop asap!
Chap!
 
Close your mouth! Kweli English ni tatizo ila lile tangazo wamezidisha
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hii lugha ni shida
 
Tulia ticha.
Tuliosoma st. Kayumba ndo tunaelewa hilo tangazo linahusu nini.

Maticha wengi ngeli ni chenga sana, ikitokea unajua kimombo kumzidi unaweza hata usiwe unaingia class coz unaona kbisa ticha anakudanganya waziwazi.

Hasa hawa wa masomo ya maelezo mengi kama history, civics n.k hawa wa math kuwadaka ni kazi coz wengi wao hesabu ni kweli zinapanda.
 
Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa.

Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua kiingereza kwa watu wake?

My take:
Tangazo lile lipigwe stop asap!
Acha waseme ukweli pole Kwa kuumia
 
watanzania bado ni malimbukeni wa lugha hasa kingereza, Kuna wazungu wengi tuu wa mataifa yaliyoendelea hawakijui hicho kingereza ila tunaona kawaida tuu, ila mtanzania asiyejua hiyo lugha anaoneka taahira
Sio utaahira hiyo ni international language..muhiku kuijua..haya komaa na kiswahili chako.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yeye kasema walimu wengi alafu wewe ukasema wengi wa walimu
Dah! hapa utata maana tafsiri hizi kidogo zitanipoteza, hebu msaada kidogo hapa.Hivi hapa most imekaa kama quantifier kama determiner au ni kitu gani? nachojua most teachers inaweza kuwa correct grammatically lakini ina sound unnatural
 
Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa.

Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua kiingereza kwa watu wake?

My take:
Tangazo lile lipigwe stop asap!
Ni kweli hamjui Kiingereza ndiyo sababu hata sie wanafunzi mnaotufundisha hatujui maana Tabula rasa anamfundisha tabularasa mwenzie. Lisifutwe ujumbe wake ufanyiwe kazi
 
Ule ndio ukweriiii, yani kama ticha hajui ngwini unategemea wanafunzi ndio waelewe? ujumbe mujarab kabisa ule na jamaa wanajua sana matangazo yao , nimeliskia leo nimecheka sana, ni yule yule jamaa aliyeigiza la kayumba, theri iz sambari guss eeeh what, eeh which grobari worming iz
 
Haki Elimi wako vizur sana, matangazo yao huwa hayachoshi Bila shaka ujumbe umefika vizur, haiwezkani ufundishwe lugha na asiyeijua vizur lugha yenyewe, nakumbuka Enzi za Kikwete washawahi pigwa ban eti wanaidhalilisha serikali
 
Back
Top Bottom