Bongo movie sio za kuangalia kabisaa ukiwa na mtu mnayeheshimiana nae. Hawana maadili kabisababe mimi kuna Bongo movie tulikua tunatizama na maza,jamaa anamsifia demu wake mambo ya kitandani
hata wazungu tu wana maadili ndio mana wana viewers Guidelines.
Bongo movie sio za kuangalia kabisaa ukiwa na mtu mnayeheshimiana nae. Hawana maadili kabisa
Hahaa me bongo movie siangalii, wanaboa sananinafikilia hata nikafute kale ka channel, decoder za zamani zilikuwa na option ya kufuta channel
Huyo ndodi na mtwenya hovyo kabisa hao [emoji16][emoji16][emoji16]Hivi yule dkt Ndodi alifiaga wapi maana anakamba balaa
Hahaa me bongo movie siangalii, wanaboa sana
POLE SANA. Uwe kama mim tu,UNAANGALIA CHANNELS ZENYE MATANGAZO YA HIVYO NA REMOTE MKONONI yaan tangazo likiwekwa tu chap ushabadilisha.Jamani, ni kweli tuko kwenye utandawazi lakini haya matangazo yamezidi ukali utasikia Kondomu ina vidoti inanukia inaongeza utamu au yule binti yuko chooni analia damu zimemtoka ghafla hana Pedi mambo hayo yanatia ukakasi au ni ushamba wangu tu ndo unanisumbua.
Mnunulie DStv sinema zetu zenyewe quality ndogo, hizo movie ni za kuangaliwa na akili ndogowanakwama sana aise hapa nafikilia kum convince maza abadili king’amuzi aweke Dstv. maana mambo ya sinema zetu ni aibu ule sio uigizaji ni uasherati
Mnunulie DStv sinema zetu zenyewe quality ndogo, hizo movie ni za kuangaliwa na akili ndogo
Bei rahisi tu hafu unamulipia kifurushi Cha chini Kuna Chanel nzuri tofauti na Azamsawa,itabidi nifanye hivo,naskia ni elfu 79
Ni sawa ila elimu hii inapaswa kutolewa na mama kwa watoto wa kike na baba kwa watoto wakiume. Sidhani kama baba unaweza kaa na bint yako mzungumzie condom na mambo ya hedhi. Tunachokisema apa tangazo linatoka wakati upo na watoto wako wa jinsia zote na wengine ni wadogo zaid wanatudia kila aina ya Neno wanaloskia kwenye TV.Elimu ya afya haipaswi kuonewa aibu, ni vyema watoto Wakaona na ikibidi waulize na maswali.
Kuna tamthilia inaitwa panguso duh!! Wanaume wanaitana majina ya kike, kuna siku niko na familia kuna sehemu jamaa anazungumzia mwanamme kushughulikiwa huku akirekodiwa, sitaki kuangalia tena.mimi juzi nilikuwa nyumbani kwa maza akawa anatazama channel ya sinema zetu,ghafla wakaanza kuongea matusi na mambo ya kitandani nikanyanyuka nikaondoka,leo pia nimekuta imewekwa channel ya sinema zetu wanasifiana kukatika mauno kitandani nikabadili channel
Kuna tamthilia inaitwa panguso duh!! Wanaume wanaitana majina ya kike, kuna siku niko na familia kuna sehemu jamaa anazungumzia mwanamme kushughulikiwa huku akirekodiwa, sitaki kuangalia tena.
Bei rahisi tu hafu unamulipia kifurushi Cha chini Kuna Chanel nzuri tofauti na Azam