Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Bongo movie sio za kuangalia kabisaa ukiwa na mtu mnayeheshimiana nae. Hawana maadili kabisababe mimi kuna Bongo movie tulikua tunatizama na maza,jamaa anamsifia demu wake mambo ya kitandani
hata wazungu tu wana maadili ndio mana wana viewers Guidelines.