Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
jichanganye uishie kupostiwa na mishumaaSijasema uoga, nikipewa hii mtakua virungu Kmmke vya ugoko, nitawagongesha vunja meno š¤£
jichanganye uishie kupostiwa na mishumaaSijasema uoga, nikipewa hii mtakua virungu Kmmke vya ugoko, nitawagongesha vunja meno š¤£
Tena Nina mzuka nikupate wewe haswa, kwanini ulinivua uwongozi wa ujobless na bado sijapata kazi,jichanganye uishie kupostiwa na mishumaa
Shida wengi wenyewe master wanakaribia kustaff, sasa mafunzo ya jeshi utafanya vipi Mkuu.Ifike sehemu wa ngazi za masters kweny hizi ajira watambuliwe pia
Nitakuongezea ulinzi muheshimiwa šš.
Majeshini huko nshastaafu aseehSio mbaya lakini, maana uchaguzi ni maamuzi ya mtu
Kaka mbona wengine tunazo na tuna miaka 27 lakin hatupewi kipaumbele unakuta nimepata masters ukiwa na 27-26 mpk -30 wanatakiwa wapew kuna miaka kadhaa nyuma ujamiaj ulikuwa unawaita mpk 33 miaka unakuta taasisi inatumia muda kupeleka watu kusoma masters kwa kuwalipia wakati kuna Vijana wapo washajisomesha tayarShida wengi wenyewe master wanakaribia kustaff, sasa mafunzo ya jeshi utafanya vipi Mkuu.
Hizi kazi za vijana za kukimbizana na kuluka kichura, sisi wazee tuachane nazo tu.
Acha ujinga ingekuwa kila mtu ana akili kama zako hao phd ungewapat wap na maprofesa kama hufikilii vile na ujitambui kusoma masters ni gharama kubwa wengi hawawez kumudu kiherere gani sas nawew ukiambiwa kusoma degree ni kiherere si ungeenda veta nadhani hujitambui .. shida huwaga mna roho za kichawi yaani mkiona mtu anapiga hatua mbele basi roho za wivu na uchawi huwaanza kuwaingia utazani kama una msaada katik hustle za mtu kaa kimyaMasters ni kiherehere cha mtu tu ,mwisho degree
Umekazia masters masters. Mzee omba kwa degree ukifika kazini baada ya miaka mitatu ingiza cheti chako ya masters, utalipwa mshahara na utapewa cheo na majukumu kwa hadhi ya masters.Kaka mbona wengine tunazo na tuna miaka 27 lakin hatupewi kipaumbele unakuta nimepata masters ukiwa na 27-26 mpk -30 wanatakiwa wapew kuna miaka kadhaa nyuma ujamiaj ulikuwa unawaita mpk 33 miaka unakuta taasisi inatumia muda kupeleka watu kusoma masters kwa kuwalipia wakati kuna Vijana wapo washajisomesha tayar
Nakazia ndio kwanini nawew usikimbilie veta kwanza kama unaona mimi nakosea kila mtu aweke hoja yake why nikae miaka mitatu alafu hapo hapo tasisi inataka kupeleka watu kusoma hiyo level kwa ghrama kubwa ukiwa nayo wew ukifit chukuliwa mbona nchi za wenzetu hawajali level wew uwe mtaalamu tu wa hiyo fani kuanzia certificate mpk phdUmekazia masters masters. Mzee omba kwa degree ukifika kazini baada ya miaka mitatu ingiza cheti chako ya masters, utalipwa mshahara na utapewa cheo na majukumu kwa hadhi ya masters.
Sasa chagua, upate ajira kwa degree baada ya miaka 3 uingize cheti cha masters, au ukae mtaani miaka kadhaa kusubiri ajira za masters na umri wako ukiwa unaenda.Nakazia ndio kwanini nawew usikimbilie veta kwanza kama unaona mimi nakosea kila mtu aweke hoja yake why nikae miaka mitatu alafu hapo hapo tasisi inataka kupeleka watu kusoma hiyo level kwa ghrama kubwa ukiwa nayo wew ukifit chukuliwa mbona nchi za wenzetu hawajali level wew uwe mtaalamu tu wa hiyo fani kuanzia certificate mpk phd
Maisha ni kuchagua kwanz wameweka shahada ni level zote za degree hawajasema bachelor degree hapo sas sijui unaongea nini hawaja limit shahada bachelor au laaha kwaiyo masters degree sio shahada au ni shahada ya uzamili wakisema shahada ya kwanza basi hana sifa hapoSasa chagua, upate ajira kwa degree baada ya miaka 3 uingize cheti cha masters, au ukae mtaani miaka kadhaa kusubiri ajira za masters na umri wako ukiwa unaenda.
Safi Sana tu, Tuliokosa Nafasi Mwaka Jana Mwezi wa 10 Basi Tukutane Tena Awamu hii kwenye Usahili kama Mungu Atatusimamia, inshallahMkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha Sita na Kidato cha Nne wenye sifa zifuatazo:
1. Sifa za Muombaji
a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
b) Wazazi wake wawe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
c) Awe amehitimu Kidato cha Nne au cha Sita kuanzia mwaka 2019 hadi 2024.
d) Kwa waombaji wa Kidato cha Nne na Sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
e) Kwa waombaji wa Kidato cha Nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I ā IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Points) 26 hadi 28.
f) Kwa waombaji wa Kidato cha Sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I ā III).
g) Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wa Kitanzania wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha Sita na Kidato cha Nne wenye sifa zifuatazo:
1. Sifa za Muombaji
a) Awe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
b) Wazazi wake wawe raia wa Tanzania kwa kuzaliwa.
c) Awe amehitimu Kidato cha Nne au cha Sita kuanzia mwaka 2019 hadi 2024.
d) Kwa waombaji wa Kidato cha Nne na Sita pamoja na wenye Astashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 25.
e) Kwa waombaji wa Kidato cha Nne wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la nne (Division I ā IV). Kwa waombaji wenye ufaulu wa daraja la nne (Division IV) wawe na ufaulu wa alama (Points) 26 hadi 28.
f) Kwa waombaji wa Kidato cha Sita wawe na ufaulu wa daraja la kwanza mpaka la tatu (Division I ā III).
g) Wahitimu wa Shahada na Stashahada wawe na umri kuanzia miaka 18 hadi 30
Kazi za LAWAMA makutupora
Sawa, omba na masters yako uone kama mfumo ya maombi utakubali. Na endelea kusubiri wakutangazie mastersMaisha ni kuchagua kwanz wameweka shahada ni level zote za degree hawajasema bachelor degree hapo sas sijui unaongea nini hawaja limit shahada bachelor au laaha kwaiyo masters degree sio shahada au ni shahada ya uzamili wakisema shahada ya kwanza basi hana sifa hapo
we Bolotoba Soma hiyo, hata huyu nusu albino a.k.a haji Half american aione hii šNitakuongezea ulinzi muheshimiwa šš.
Acha kunitisha kijana wew kama nani hapo kwenye usaili naona umejipa cheo cha uchaguzi watu nyie ndo mkipata vitengo mkiona tu kijana ana level kukuzid basi ni kumla kichwa kisa hila zenu ndo maan umasikini unaongezek kwa kasi kuwa na watu kama nyieSawa, omba na masters yako uone kama mfumo ya maombi utakubali. Na endelea kusubiri wakutangazie masters
Acha kunitisha kijana wew kama nani hapo kwenye usaili naona umejipa cheo cha uchaguzi watu nyie ndo mkipata vitengo mkiona tu kijana ana level kukuzid basi ni kumla kichwa kisa hila zenu ndo maan umasikini unaongezek kwa kasi kuwa na watu kama nyie