Tangazo la nafasi za ajira jeshi la polisi

Tangazo la nafasi za ajira jeshi la polisi

Masters ni kiherehere cha mtu tu ,mwisho degree
Kuna vyeo jeshi la polisi, uhamiaji hata uhifadhi without master you wont get there. Masters kama una aim managerial positions, au supervisors , CO
 
Ifike sehemu wa ngazi za masters kweny hizi ajira watambuliwe pia
Mkuu mbona Zanzibar wanapewa vigezo vyao yani wamependelewa mpaka waliosomea Hoteli lakini Vijana wa Tanganyika wameachwa?
 
Back
Top Bottom