Tangazo la nafasi za ajira jeshi la polisi

Kaka mbona wengine tunazo na tuna miaka 27 lakin hatupewi kipaumbele unakuta nimepata masters ukiwa na 27-26 mpk -30 wanatakiwa wapew kuna miaka kadhaa nyuma ujamiaj ulikuwa unawaita mpk 33 miaka unakuta taasisi inatumia muda kupeleka watu kusoma masters kwa kuwalipia wakati kuna Vijana wapo washajisomesha.

Sasa Mkuu kama umri wako ni miaka 27, hapo si teyari moja kwa moja Tangazo linakuhusu na utaomba kama mtu mwenye Degree.

Serikalini kidogo mfumo ni tofauti, kwa mfano jeshi cheo cha kwanza cha msomi , nafikiri wao msomi ni mwenye Diploma, Degree na kuendelea ni Nyota 1 (Hii kama umeenda kusoma mafunzo ya Uofisa). Hiki ni cheo cha mtu yeyote bila kujali una Degree 1, 2 and 3 au Profesa.

Na hata taasisi zingine za serikali ambazo siyo za jeshi, msomi ni kuanzia Degree 1, na cheo cha kwanza kwa mfumo wa sasa , utaanza na cheo cha Ofisa Daraja la 2, bila kuja Master yako. Serikalini vyeo kupanda ni SENIORITY, siyo elimu pekee yake.

Kama elimu yako kubwa, basi subiria siku wanataka waDG then uombe huko, naona wenyewe ndio wanaingiaga moja kwa moja na vyeo vya juu, bila kuanzia huku ofisa Daraja la 2 na kuendelea.
 
Nimekuelewa kaka vyema nilipend kuuliza tu kwa maelezo yako sina shaka kabisa kwa ilo
 
Islamic republic kwa hiyo waliosoma English language hawana nafasi ndani ya jeshi la polisi isipokuwa wenye french Portuguese na Arabic
Umetaja portuguese na French halafu ukamalizia "Islamic republic...".

Wewe jamaa uwe siriaz ha ha ha
 
Jeshi la Polisi ni miongoni mwa Taasisi za Serikali ambazo ni pasua kichwa, licha ya Maoni mbalimbali yanauotolewa na Wananchi ili kulijenga upya Jeshi hili lakini inaonekana kuwa ni Kutwanga Maji, Hakuna mabadiliko yoyote yale ya maana Sana. PT is among of the useless Army in this country.
Punguza CHUKI...

Unakaribia kulala na kula majalalani....
 
Hivi vitu huwa navishangaa sana Jeshi la polisi wanaajiri kama vile wanataka kujitenga na Serikali.

Hizo taaluma zote za nini jeshi la polisi?

Ndio tunataka ajira, lakini haya ni matumizi mabaya ya kodi zetu.
 
Walioamua kuweka hizk category zote wa akili kuliko digrii yaki ya mwl nyerere
 
Back
Top Bottom