Tangazo la nafasi za ajira jeshi la polisi

Shida wengi wenyewe master wanakaribia kustaff, sasa mafunzo ya jeshi utafanya vipi Mkuu.

Hizi kazi za vijana za kukimbizana na kuluka kichura, sisi wazee tuachane nazo tu.
Kaka mbona wengine tunazo na tuna miaka 27 lakin hatupewi kipaumbele unakuta nimepata masters ukiwa na 27-26 mpk -30 wanatakiwa wapew kuna miaka kadhaa nyuma ujamiaj ulikuwa unawaita mpk 33 miaka unakuta taasisi inatumia muda kupeleka watu kusoma masters kwa kuwalipia wakati kuna Vijana wapo washajisomesha tayar
 
Masters ni kiherehere cha mtu tu ,mwisho degree
Acha ujinga ingekuwa kila mtu ana akili kama zako hao phd ungewapat wap na maprofesa kama hufikilii vile na ujitambui kusoma masters ni gharama kubwa wengi hawawez kumudu kiherere gani sas nawew ukiambiwa kusoma degree ni kiherere si ungeenda veta nadhani hujitambui .. shida huwaga mna roho za kichawi yaani mkiona mtu anapiga hatua mbele basi roho za wivu na uchawi huwaanza kuwaingia utazani kama una msaada katik hustle za mtu kaa kimya
 
Umekazia masters masters. Mzee omba kwa degree ukifika kazini baada ya miaka mitatu ingiza cheti chako ya masters, utalipwa mshahara na utapewa cheo na majukumu kwa hadhi ya masters.
 
Umekazia masters masters. Mzee omba kwa degree ukifika kazini baada ya miaka mitatu ingiza cheti chako ya masters, utalipwa mshahara na utapewa cheo na majukumu kwa hadhi ya masters.
Nakazia ndio kwanini nawew usikimbilie veta kwanza kama unaona mimi nakosea kila mtu aweke hoja yake why nikae miaka mitatu alafu hapo hapo tasisi inataka kupeleka watu kusoma hiyo level kwa ghrama kubwa ukiwa nayo wew ukifit chukuliwa mbona nchi za wenzetu hawajali level wew uwe mtaalamu tu wa hiyo fani kuanzia certificate mpk phd
 
Sasa chagua, upate ajira kwa degree baada ya miaka 3 uingize cheti cha masters, au ukae mtaani miaka kadhaa kusubiri ajira za masters na umri wako ukiwa unaenda.
 
Sasa chagua, upate ajira kwa degree baada ya miaka 3 uingize cheti cha masters, au ukae mtaani miaka kadhaa kusubiri ajira za masters na umri wako ukiwa unaenda.
Maisha ni kuchagua kwanz wameweka shahada ni level zote za degree hawajasema bachelor degree hapo sas sijui unaongea nini hawaja limit shahada bachelor au laaha kwaiyo masters degree sio shahada au ni shahada ya uzamili wakisema shahada ya kwanza basi hana sifa hapo
 
Safi Sana tu, Tuliokosa Nafasi Mwaka Jana Mwezi wa 10 Basi Tukutane Tena Awamu hii kwenye Usahili kama Mungu Atatusimamia, inshallah
 
Jeshi la Polisi ni miongoni mwa Taasisi za Serikali ambazo ni pasua kichwa, licha ya Maoni mbalimbali yanauotolewa na Wananchi ili kulijenga upya Jeshi hili lakini inaonekana kuwa ni Kutwanga Maji, Hakuna mabadiliko yoyote yale ya maana Sana. PT is among of the useless Army in this country.
 
Sawa, omba na masters yako uone kama mfumo ya maombi utakubali. Na endelea kusubiri wakutangazie masters
 
Sawa, omba na masters yako uone kama mfumo ya maombi utakubali. Na endelea kusubiri wakutangazie masters
Acha kunitisha kijana wew kama nani hapo kwenye usaili naona umejipa cheo cha uchaguzi watu nyie ndo mkipata vitengo mkiona tu kijana ana level kukuzid basi ni kumla kichwa kisa hila zenu ndo maan umasikini unaongezek kwa kasi kuwa na watu kama nyie
 
Wakihitaji masters, utaitwa interview hata kama nina elimu ya darasa la7, huwezi kuzibiwa.

Nenda kwenye mfumo kaombe, ukiona masters chagua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…