Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

Jamn mmejadili mambo mengi ila ningependa kujua hawa MDAs and LGAs huwa wanafanya nn kwa upande wa kada ya Takwimu nisaidini ndugu zangu. Majina yapo karibu kutoka
Majina gani yapo karibu kutoka ?Ya interview ? Maana bado hawajaita, wewe unauliza "wanafanya(ga) kazi gani, umeushitua umati....
 
Jamn mmejadili mambo mengi ila ningependa kujua hawa MDAs and LGAs huwa wanafanya nn kwa upande wa kada ya Takwimu nisaidini ndugu zangu. Majina yapo karibu kutoka
Kama umeweza kung'amua kuwa majina yako karibu kutoka,umeshindwa nini kung'amua kada ya takwimu huwa wanafanya nini?uliomba kitu usichokijua?
 
Kama umeweza kung'amua kuwa majina yako karibu kutoka,umeshindwa nini kung'amua kada ya takwimu huwa wanafanya nini?uliomba kitu usichokijua?
Mkuu shusha silaha chini, hizo ni nzito sana.
 
Hivi majina ya walifanikiwa kuitwa Interview ya Afisa mazingira yametolewa kweli?
 
Uzi sasa umefika tamati kujadiliwa , tayari majina yenu ya LGA's na MDA's ya kuitwa katika usaili yapo kwenye website ya utumishi kaangalieni. Mie nawatakia mafanikio mema.
 
Uzi sasa umefika tamati kujadiliwa , tayari majina yenu ya LGA's na MDA's ya kuitwa katika usaili yapo kwenye website ya utumishi kaangalieni. Mie nawatakia mafanikio mema.
Bado hawajamalizaa.

Kuna kada bado hazijaitwa huko MDAs na LGAs
 
Sioni muhimu sana wa kuapply kwn ni mbinu tu za kisiasa hakuna anaitwa kwenye interview hii app ilikuwa inafanya kaz fasaha kipindi cha magufuri ila sio sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…