Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Majina gani yapo karibu kutoka ?Ya interview ? Maana bado hawajaita, wewe unauliza "wanafanya(ga) kazi gani, umeushitua umati....Jamn mmejadili mambo mengi ila ningependa kujua hawa MDAs and LGAs huwa wanafanya nn kwa upande wa kada ya Takwimu nisaidini ndugu zangu. Majina yapo karibu kutoka