Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Kwahiyo umeona uje kunidhalilisha kwenye uzi wa takukuru? Turudi kulekule😅Vp leo mambo yaliendaje general
Kwahiyo umeona uje kunidhalilisha kwenye uzi wa takukuru? Turudi kulekule😅Vp leo mambo yaliendaje general
Sasa hv tupo level ya wasap, pm tumeshatoka huko 😂Weeeh! Na husemi mwanetu 🫢
Sijaoenda niungeni huko kwenye pm yenu nipige naniliu tu sasa😂
Sawa boss 😂Kwahiyo umeona uje kunidhalilisha kwenye uzi wa takukuru? Turudi kulekule😅
Nipenyezewa kua umeweka sharti gumu ya kua lazima uwe na shati la chamaHahaha mimi sina roho mbaya ninawabless tu kiroho safi!
Mna mbio sana angalieni msije kuanika nyapu zenu humu😂Sasa hv tupo level ya wasap, pm tumeshatoka huko 😂
Ndio chama cha wapiga nyeto! Huoni tunaelewana vizuri na hwa wajomba Mbaga Jr na secretarybirdNipenyezewa kua umeweka sharti gumu ya kua lazima uwe na shati la chama
Mh inamaana wanavuta hisia kulingana na kile unachokiandikaNdio chama cha wapiga nyeto! Huoni tunaelewana vizuri na hwa wajomba Mbaga Jr na secretarybird
Kuna ulinzi na udereva hapoMimi wa elimu ya kidato cha nne siwezi kuchungulia huko?
Wenyew vyovyote freshy tu kikubwa kukwea mnaziMh inamaana wanavuta hisia kulingana na kile unachokiandika
Sina elimu kubwa ndo maana napewa kazi ngumu ngumu. Imagine saa hii nalinda nyumba ya mtu 🥲.Naona mnagombania elimu mbalimbali mkuu😅
Mwambie huyo!Ndio chama cha wapiga nyeto! Huoni tunaelewana vizuri na hwa wajomba Mbaga Jr na secretarybird
Watu na heshima zao shangazi ulitaka wapate kisonono ndo watulieWenyew vyovyote freshy tu kikubwa kukwea mnazi
hata kuendesha toroli siwezi.Kuna ulinzi na udereva hapo
Hatuwezi kuwa na akili hizoMna mbio sana angalieni msije kuanika nyapu zenu humu😂
Huu nao upuuzi tu!1.3 Sifa zingine:
▪ Waombaji wasiwe wamefika umri wa miaka 29 kufikia May, 2026.
Acha kuharibu uzi 😂Mmebanduliwa bhana 😂
Hakuna connection omba tu kaziMwenye connection anissidie