Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Naona umeamua kunyoosha 😂Hakuna connection omba tu kazi
Naona umeamua kunyoosha 😂Hakuna connection omba tu kazi
Ndio, kuna mtu aliniaminisha kazi ya jana lakini wapi😁Naona umeamua kunyoosha 😂
Hata kuomba kazi hujaomba unaomba connection mkuu.Mwenye connection anissidie
Kote nakosaga tuHata kuomba kazi hujaomba unaomba connection mkuu.
Pole sana mkuu.Kote nakosaga tu
Hata hawana posho za kushtua.Hawa posho zao ni kiasi gani?
Mkuu , umesema MAfisa wa Watakukuru wanaganga njaa Tena 😃? DaaHata hawana posho za kushtua.
Wenye vyeo vikubwa ndo wanafaidi (Allowances, vikao, budget ya ofisi).
Pia, wanapiga pesa kwenye misala ya watu (kesi za rushwa).
The rest wanaganga njaa tu.
Vipi mkuu, una maoni tofauti?Mkuu , umesema MAfisa wa Watakukuru wanaganga njaa Tena 😃? Daa
Unataka uajiriwe TAKUKURU huku una miaka 35 na una watoto wawili, una madeni kibao na wazazi/ ndugu wanakutegemea, we utaweza kupambana na rushwa kweli?Ngoja nichangamkie fursa.
Nacho jua wanaishi ki celebrities, Yan 😂 hawana stress za KAZI.Vipi mkuu, una maoni tofauti?
Hahaha!Nacho jua wanaishi ki celebrities, Yan 😂 hawana stress za KAZI.
Lengo Mimi nipate kazi and no more 😎.Unataka uajiriwe TAKUKURU huku una miaka 35 na una watoto wawili, una madeni kibao na wazazi/ ndugu wanakutegemea, we utaweza kupambana na rushwa kweli?
Mkuu hata pdf haijatoka unataka tips😁😂 utashangazwa! Inaonekana umeeka tumaini sana, jiandae kwa maumivu makali sana😃😃💯Leteni tips za interview za TAKUKURU
Atakuwa ana mbanga wa uhakika msaidieni tu wakuuMkuu hata pdf haijatoka unataka tips😁😂 utashangazwa! Inaonekana umeeka tumaini sana, jiandae kwa maumivu makali sana😃😃💯