Tangazo la nafasi za kazi TAKUKURU

Tangazo la nafasi za kazi TAKUKURU

Habar za jion wadau ivi kuna watu washaanza kupata email za kwenda course kwa investigator officer
 
Nilipata mkuu ila kuitwa bado ndo nataka kujua kama kuna mtu anafahamu
Hongera sana familia mimi nilikosa vigezo
Sikuwa na cheti cha Std 7 & Adv
But moja ya taasisi nilikuwa naihusudu sana kufanya kazi, all in all sikujui ila bado nimefurahi tu kuona umepata; Mungu akutangulie katika majukumu yako mapya🙏👏
 
Asantee kaka ila bado nasubir majubu ya orall interview
 
Back
Top Bottom