Tangazo toka kwa mwenyekiti manoah.


hapa ndipo nakuona haunifai wala sikukubali ng'oo sikupi hata sapoti na nitakuwa against you kwa nguvu zangu zote na naongoza mchakato wa kukupindua na kukupinga kwa nguvu zangu zote unataka unichukulie mke wangu kipenzi Zion Daughter umtoe sadakalawe??
Nimesema sikubali...
 
Last edited by a moderator:
wewe haitosaidia wala huwezi badilisha kitu....

 
Last edited by a moderator:
Natangaza rasmi mimi ni waziri wa fedha wa jamhuri ya chitchat.
Bajeti ya chit chat mwaka wa fedha 2013/2014 itatangazwa kesho.
 
kagusa eneo of interest ee...pananuka apa muda c mrefu..wacha nivte popukoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…