Tangazo toka kwa mwenyekiti manoah.

Katoto kanakomaa vibaya haka eti mwanamke uwe na wanaume 4. anatakiwa awe nyuma ya nondo walau kwa mwaka mmoja akajifunze maadili kwanza.

Anajaribu waya wa High voltage kwa kutumia ulimi... mtamskia tu, mhurumieni
 
Naona upo uhamishoni ama umepata hifadhi ya kisiasa nchini siasani,huku ndo ushapinduliwa tayari.

Anajaribu waya wa High voltage kwa kutumia ulimi... mtamskia tu, mhurumieni
 

Haya binamu "nyama ya hamu" Madame B, mwenyekiti ameshakuwashia green light sasa kazi ni kwako🙂🙂🙂
 
Last edited by a moderator:

Yehuuu..... mimisa hi
 
Last edited by a moderator:

Shem Madame B kwa heshima na taadhima ninaomba usinitamani mie hata kidogo.. Maana ninavyompenda nduguyo Paloma.. ardhi inajua..
nitonye kapagawa maana amekumbana na kibuti toka kwa Arabela.. ruksa kumtamani yeye..
Mentor ni shemeji yangu na ndoa yake na Suzie bado ni changa.. naomba usimguse hata unywele wa kichwani kwake..
Judgement sielewi wameishia wapi na YNNAH maana mara ya mwisho alimpiga na kumpasua kucha.. (kama Ighondu)..
Mr Rocky unaweza kumtamani maana yeye ni bingwa wa kufumaniwa na kutolewa mangeu na videnishi vyake..

Hao wengine mh.. ngoja niwaangalie cv zao..
 
Last edited by a moderator:
Mhhh nani kakupa hicho cheo cha mwenyekiti wakati mapinduzi yako ni batili wewe manoah naona untafuta ban ya kudumu humu
Cc Baba V, Judgment Erickb52, watu8, sweetlady Preta,@ blaki womani gfsonwin

To oppose or refusin the currently regime, without "ridhaa ya wadau" is a rebel!
Rebel's regime can't existed!
Hilo halihitaji kujadili.
From know where someone came and establish unknown regime! Generally can't accepted!
Some pipo are natural- born leaders as Baba V or watu8 lookin like! They may emerge as leaders , when none exists or when a group recognizes and trusts.
Leader align their activities to a clearly defined mission and vission.
Hata yeye manoah angekaa akabuni kitengo kingine then tungemuelewa.
Si kusubiri vilivyobuniwa ukatamani kuvi overthrow!
Bado naamini Baba V anafit kwa nafasi hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Anajaribu waya wa High voltage kwa kutumia ulimi... mtamskia tu, mhurumieni

Ila mwenyekiti Baba V itabidi kiwekwe kikao cha kukujadili.. maana vitendo vyako siku hizi vinafanana na vya mwenyekiti yuleee wa kucheka cheka.. Mpaka linatokea ombwe hapa..
 
Last edited by a moderator:
Hata yeye manoah angekaa akabuni kitengo kingine then tungemuelewa.
Si kusubiri vilivyobuniwa ukatamani kuvi overthrow!

Ngoja nimsaidie tu mawazo, anaweza akaanzisha kamati ya watoto wa kiume wa Chitchat ambao bado wanaishi kwa wazazi wao
 
Last edited by a moderator:
ulimshindwa mutu mumoja tu motema nangai Madame B kweli utaweza wapi kuwa waziri ya fedha ya jamuhuri yote ya cc.

Natangaza rasmi mimi ni waziri wa fedha wa jamhuri ya chitchat.
Bajeti ya chit chat mwaka wa fedha 2013/2014 itatangazwa kesho.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…