Tangazo toka kwa mwenyekiti manoah.

heeee yamekuwa hayo tena
hivi unaweza kukwepa hapo kweli,
mi siku hizi nimejituliza kwa Mr Rocky kama kasuku ninachopata kinanitosha
sioni wala sisikii tena ya pembeni mwaya.

huyu angefungua gurupu la wahanga wa vibuti! si eti manoah
 
Last edited by a moderator:
heeee yamekuwa hayo tena
hivi unaweza kukwepa hapo kweli,
mi siku hizi nimejituliza kama kasuku ninachopata kinanitosha
sioni wala sisikii tena ya pembeni mwaya.
Mr Rocky kafanzaje tena!!!! we binamu hebu kuya uku kuna mambooo unijibu........
 
Last edited by a moderator:
Natangaza rasmi mimi ni waziri wa fedha wa jamhuri ya chitchat.
Bajeti ya chit chat mwaka wa fedha 2013/2014 itatangazwa kesho.

haya asante lakini ungepeleka jukwaa la matangazo....
 

makofi na vigelegele....
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky tatizo ni huyu binamu yako ana haraka
na yeye najua tu kuwa anakutaka keshamchoka sosoliso
nimerekebisha maandiko yangu rudi tu hapo juu ukasome wewe mwenyewe.

Vipi huko bungeni mmemaliza vikao?

Binamu Paloma kuna mtu anaiba paswedi yangu halafu anatuma maneno ya kimahaba kwa Mamndenyi na huyo mtu nahisi ni Baba V tuu sio mwingine
Bora aondolewe kwenye uenyekiti Mamndenyi nimekumiss niaje
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Arabela hajanipiga kibuti bado ananifikiria, nani kakwambia mwanamke hukubali siku hiyo anapotongozwa?
 
Last edited by a moderator:
Mr Rocky tatizo ni huyu binamu yako ana haraka
na yeye najua tu kuwa anakutaka keshamchoka sosoliso
nimerekebisha maandiko yangu rudi tu hapo juu ukasome wewe mwenyewe.

Vipi huko bungeni mmemaliza vikao?

Kuna mtu kaspoil kila tulichofanya hapa kwa hiyo tunaanza upya tena kujitetea ila nitarudi soon kuweka mambo sawa Mamndenyi

Baba V unaona kama ananiweza kweli?
alimshindwa bi shosti mmoja hadi akaja kumwaga radhi hapa jamvini
sembuse Mamndenyi.

Baba V ana gundu akikaa humu jamvini kidogo mara ale BAN mara anyang'anywe uenyekiti mara mapinduzi baridi mpaka manoah anampindua mwenyekiti
Ujue hata huyo nyumbani Mama v kashampindua na Mama v ndie maza hause Baba V haongei
 
Last edited by a moderator:
Mda mwingine manoah yupo sahihi maana ndoa za watu zinavunjika hovyo hovyo na yeye yupo bila kutake action yeyote. Watu wanatembea nje ya ndoa na wanazaa watoto.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…