Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc.

Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali

KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
Ugali ni chakula cha kuzoofisha wanyama walio shindikana marekani..
 
Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc.

Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali

KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
Nikitafakali Kuwa Mahindi Yaliletwa Bongo na Wareno Nachoka Kabisa
 
Wazungu wajanja wao walileta mahindi Ila wao hawali ugali wanatumia kwa mifugo

Na kudumaa kwa watz ugali unachangia Sana

Mfano mikoa ambayo hawatumii Sana hiyo kitu Kama Bukoba , moshi akili zao zimesimama Sana .
 
Back
Top Bottom