mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Oya mkuu π.Nikichogundua wengi wanaokula ugali ni washirikina..
kula ugali yataka moyo, mtu anayekula ugali tena usiku, huyu anauwezo wa kulala na nyoka, ana uwezo wa kuangalia TBC taifa 1,
Ugali ni chakula cha kuzoofisha wanyama walio shindikana marekani..Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc.
Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali
KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
πππ Ugali utangazwe kuwa JANGA la TAIFA.Oya mkuu π.
Ngoja ngosha Shimba ya Buyenze aone huu ujumbe kama hamtagombana π.πππ Ugali utangazwe kuwa JANGA la TAIFA.
Kama ilivyo kwa ujinga, umaskini na MARADHI.
#kataa ugali , kataaa matofari, kataa mateso , kataa kudumaza akili, kataa umaskini, kataa inferior foodNgoja ngosha Shimba ya Buyenze
Ngoja nifanye kama unavyosema nione kama nitabadilika π.#kataa ugali , kataaa matofari, kataa mateso , kataa kudumaza akili, kataa umaskini, kataa inferior food
ππππNgoja nifanye kama unavyosema nione kama nitabadilika π.
Ngoja nimwulize Monetary doctor kuhusu faida za kula ugali a.k.a nguna.ππππ
Nikitafakali Kuwa Mahindi Yaliletwa Bongo na Wareno Nachoka KabisaBaada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc.
Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali
KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
Mkuu mkuu ππππOya mkuu π.
Naam π.Mkuu mkuu ππππ
Nimecheka sanaNikichogundua wengi wanaokula ugali ni washirikina..
kula ugali yataka moyo, mtu anayekula ugali tena usiku, huyu anauwezo wa kulala na nyoka, ana uwezo wa kuangalia TBC taifa 1,