Tangia nimeacha kula ugali fikra zangu zimekuwa SHARP!

Babu zetu walikula ugali kwa wingi, pamoja na vyakula vingine vya asili kama vile matunda, mboga za majani na baadaye walipiga kazi kwa bidii. Hivyo vyakula vingi havikuwadhuru maana vyote vilitumika bila kuwekwa akiba!
Ndio maana wakawa watumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…